Umeona huyo wa turkey alivyoivaa lakini?? AmateursMaskini...hata nakusikitikiaHayo ni mambo ya kawaida kw nchi zinazopambana na magaidi...
Cheki huyo wa turkey wakiwa kule northern syria[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1245349
Jamaa ata shinda akituwekea askari wa magereza mara sijui ,anti riot. Nikama Kenya hakuna hizo units wakati kenya units specialized ni nyingi sana Kutoka border patrol units ,antistock theft,kpr ,RDU , flying squad, kenya police airwing ata sidhani polisi wao Wana dedicated airwing .Wawatoe wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]akileta uni tag
M23 pangaboiz kiboko chenu...hebu nikumbushwe Ni wangapi walikatakatwa kwa mapanga Hadi kufa na hao watoto wa kongo?kama kawa hua mnaloa vyupi mkishaskia jwtz tehtehh sasa nenda Google m23 and adf
af tulvokua wababe convoy ilipita rwanda kwenda congo!!
ngoja nkwambie tafta kitabu cha kanuni za vita af utajua kwa nn navy na airwing tumewrkeza kwe kuzuia na sio kushambulia.,
af utajua kwa nn tumewekeza kwe army( offensive)
ndege zenu hazitaruka nevy yenu tnawakabidhi navy zenji wawadhibiti
we own the great lakes budaa...
af tafta walchosema alshabab kwa Tanzania we ushangai/ujiulizi kwa nn tz?
Polisi wa Tanzania hata drive hawana sembuse airwing wacha hata polisi military Yao Ndege Ni kidogo Sana Tena zile za world war 2...waulize Kama Wana parachute battalio...wamekomalia ardhini wakati Jeshi la kisasa Ni hewani.Jamaa ata shinda akituwekea askari wa magereza mara sijui ,anti riot. Nikama Kenya hakuna hizo units wakati kenya Kuna units specialized ni nyingi sana Kutoka border patrol units ,antistock theft,kpr ,RDU , flying squad, kenya police airwing ata sidhani polisi wao Wana dedicated airwing .
Jamaa ata shinda akituwekea askari wa magereza mara sijui ,anti riot. Nikama Kenya hakuna hizo units wakati kenya Kuna units specialized ni nyingi sana Kutoka border patrol units ,antistock theft,kpr ,RDU , flying squad, kenya police airwing ata sidhani polisi wao Wana dedicated airwing .
Unajitekenya na kujichekaPolisi wa Tanzania hata drive hawana sembuse airwing wacha hata polisi military Yao Ndege Ni kidogo Sana Tena zile za world war 2...waulize Kama Wana parachute battalio...wamekomalia ardhini wakati Jeshi la kisasa Ni hewani.
Hivi ndio inavyovaliwa wakati wa mchana( kama hujaamua kuitoa kabisa)Maskini...hata nakusikitikiaHayo ni mambo ya kawaida kw nchi zinazopambana na magaidi...
Cheki huyo wa turkey wakiwa kule northern syria[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1245349
Jambo lolote la Tz Hakuna la maana Ni mdomo, misifa, pambio na mihemko so lazima nijitekenye na nicheke ππππππ bure kabisa JWTZππUnajitekenya na kujicheka
The avarage Tanzania Policeman doesn't even know what an IED is.Polisi wa Tanzania hata drive hawana sembuse airwing wacha hata polisi military Yao Ndege Ni kidogo Sana Tena zile za world war 2...waulize Kama Wana parachute battalio...wamekomalia ardhini wakati Jeshi la kisasa Ni hewani.
Kama movie Kama drama [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ndio inavyovaliwa wakati wa mchana( kama hujaamua kuitoa kabisa)
Angalia tofauti na huyo muiba biskuti wa Westgate halafu rudi tena hapaView attachment 1245358View attachment 1245359
Hivi ndio inavyovaliwa wakati wa mchana( kama hujaamua kuitoa kabisa)
Angalia tofauti na huyo muiba biskuti wa Westgate halafu rudi tena hapaView attachment 1245358View attachment 1245359
Kenya Army hawajawah kufaulu hata misheni yoyote zaidi ya kuvurunda,Hivi ndio inavyovaliwa wakati wa mchana( kama hujaamua kuitoa kabisa)
Angalia tofauti na huyo muiba biskuti wa Westgate halafu rudi tena hapaView attachment 1245358View attachment 1245359
Unapinga nn na wakati kitu amekivaa kabisa...
Usiwalinganishe national youth service yetu na vitu vya kijinga...
NYS ni zaidi ya wale wavunja matofali wenuView attachment 1245068View attachment 1245069View attachment 1245070View attachment 1245071View attachment 1245072View attachment 1245073View attachment 1245074View attachment 1245075View attachment 1245076
Uganda si mlifanya collabo tu...niletee vita mlishinda peke yenu kwanza ndio nowakubali...
Marekani tu magaidi wa midsle east zaidi ya miaka sijui mingapi bado wanateseka tu..we wachezea kupigana vita na wafu., we utamua kumbe yeye kafa kitambo kisaikolojia..
Karibuni somalia kwanza..tuone km yale matofali yatawasaidia
Halafu acheni kuropoka ninyi.
Uganda ilisaidiwa na Libya mbona husemi hilo???
Hyo vta ya Uganda sisi tulifanya collabo na nani??
Halafu uzuri ktk vita zote tulizoshinda japokuwa kuna majeshi mengine pembeni JWTZ ndio inaongoza mapambano.
Halafu acheni kuropoka ninyi.
Uganda ilisaidiwa na Libya mbona husemi hilo???
Hyo vta ya Uganda sisi tulifanya collabo na nani??
Halafu uzuri ktk vita zote tulizoshinda japokuwa kuna majeshi mengine pembeni JWTZ ndio inaongoza mapambano.