Kenya General Service Unit(GSU) vs Tanzania Soldiers

Kenya General Service Unit(GSU) vs Tanzania Soldiers

Wawatoe wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]akileta uni tag
Jamaa ata shinda akituwekea askari wa magereza mara sijui ,anti riot. Nikama Kenya hakuna hizo units wakati kenya units specialized ni nyingi sana Kutoka border patrol units ,antistock theft,kpr ,RDU , flying squad, kenya police airwing ata sidhani polisi wao Wana dedicated airwing .
 
kama kawa hua mnaloa vyupi mkishaskia jwtz tehtehh sasa nenda Google m23 and adf
af tulvokua wababe convoy ilipita rwanda kwenda congo!!
ngoja nkwambie tafta kitabu cha kanuni za vita af utajua kwa nn navy na airwing tumewrkeza kwe kuzuia na sio kushambulia.,
af utajua kwa nn tumewekeza kwe army( offensive)
ndege zenu hazitaruka nevy yenu tnawakabidhi navy zenji wawadhibiti

we own the great lakes budaa...
af tafta walchosema alshabab kwa Tanzania we ushangai/ujiulizi kwa nn tz?
M23 pangaboiz kiboko chenu...hebu nikumbushwe Ni wangapi walikatakatwa kwa mapanga Hadi kufa na hao watoto wa kongo?
 
Jamaa ata shinda akituwekea askari wa magereza mara sijui ,anti riot. Nikama Kenya hakuna hizo units wakati kenya Kuna units specialized ni nyingi sana Kutoka border patrol units ,antistock theft,kpr ,RDU , flying squad, kenya police airwing ata sidhani polisi wao Wana dedicated airwing .
Polisi wa Tanzania hata drive hawana sembuse airwing wacha hata polisi military Yao Ndege Ni kidogo Sana Tena zile za world war 2...waulize Kama Wana parachute battalio...wamekomalia ardhini wakati Jeshi la kisasa Ni hewani.
 
Hamna kitu kule nakwambia...wawe navyo wasivilete..subutu!!
Jamaa ata shinda akituwekea askari wa magereza mara sijui ,anti riot. Nikama Kenya hakuna hizo units wakati kenya Kuna units specialized ni nyingi sana Kutoka border patrol units ,antistock theft,kpr ,RDU , flying squad, kenya police airwing ata sidhani polisi wao Wana dedicated airwing .
 
Polisi wa Tanzania hata drive hawana sembuse airwing wacha hata polisi military Yao Ndege Ni kidogo Sana Tena zile za world war 2...waulize Kama Wana parachute battalio...wamekomalia ardhini wakati Jeshi la kisasa Ni hewani.
Unajitekenya na kujicheka
 
Maskini...hata nakusikitikiaHayo ni mambo ya kawaida kw nchi zinazopambana na magaidi...

Cheki huyo wa turkey wakiwa kule northern syria[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1245349
Hivi ndio inavyovaliwa wakati wa mchana( kama hujaamua kuitoa kabisa)

Angalia tofauti na huyo muiba biskuti wa Westgate halafu rudi tena hapa
20191026_144944.jpeg
20191026_144925.jpeg
 
Polisi wa Tanzania hata drive hawana sembuse airwing wacha hata polisi military Yao Ndege Ni kidogo Sana Tena zile za world war 2...waulize Kama Wana parachute battalio...wamekomalia ardhini wakati Jeshi la kisasa Ni hewani.
The avarage Tanzania Policeman doesn't even know what an IED is.
 
Halafu acheni kuropoka ninyi.
Uganda ilisaidiwa na Libya mbona husemi hilo???
Hyo vta ya Uganda sisi tulifanya collabo na nani??
Halafu uzuri ktk vita zote tulizoshinda japokuwa kuna majeshi mengine pembeni JWTZ ndio inaongoza mapambano.
Uganda si mlifanya collabo tu...niletee vita mlishinda peke yenu kwanza ndio nowakubali...

Marekani tu magaidi wa midsle east zaidi ya miaka sijui mingapi bado wanateseka tu..we wachezea kupigana vita na wafu., we utamua kumbe yeye kafa kitambo kisaikolojia..

Karibuni somalia kwanza..tuone km yale matofali yatawasaidia
 
Mnapinga hadi vitu vinajulikana, mlisaidiwa na Waganda, Waethiopia, wachina, wamozambique
Halafu acheni kuropoka ninyi.
Uganda ilisaidiwa na Libya mbona husemi hilo???
Hyo vta ya Uganda sisi tulifanya collabo na nani??
Halafu uzuri ktk vita zote tulizoshinda japokuwa kuna majeshi mengine pembeni JWTZ ndio inaongoza mapambano.
Screenshot_20191026-162201.jpeg
 
Nynyi vita vyote mmefanya kuwachangia hao mnaopigana nao, naye museven asemeje?

Back
Top Bottom