Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Jeshi la kutuliza ghasia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Kitabu kipi hicho?kama kawa hua mnaloa vyupi mkishaskia jwtz tehtehh sasa nenda Google m23 and adf
af tulvokua wababe convoy ilipita rwanda kwenda congo!!
ngoja nkwambie tafta kitabu cha kanuni za vita af utajua kwa nn navy na airwing tumewrkeza kwe kuzuia na sio kushambulia.,
af utajua kwa nn tumewekeza kwe army( offensive)
ndege zenu hazitaruka nevy yenu tnawakabidhi navy zenji wawadhibiti
we own the great lakes budaa...
af tafta walchosema alshabab kwa Tanzania we ushangai/ujiulizi kwa nn tz?
Hizi units tu za kawaida .Weka Units specialist Kama vile air marshalls ama ATPU
GSU hawa hapaHawa wakija Kenya wanakula watchmen
Ungesema haujui maana ya GSU
asee budaa msalmie redsan msalmie pia sharamaa usimsaau avril niko apa naskiza streactly kenyan earadioHii tabia ya Waafrika kupimana makende nani anayo kubwa haivutii. Tujirekebishe jameni, sisi ni majirani.
Safi saana kijana... Umewachambulia vizuur saana wakihitaji kujua zaid... Unawapa kazi za kila jeshi hapo..
Kenya ni kizungumkuti. Kila mmoja anajiona ni mbabe. Baadae wakaanza kuuana wao kwa wao.Safi saana kijana... Umewachambulia vizuur saana wakihitaji kujua zaid... Unawapa kazi za kila jeshi hapo..
Kenya muundo wao ni mbovu saana.. Nakumbuka sekeseke la west gate walipigana risasi wenyewe kwa wenyewe kisa utoaji wa amri na madaraka haukukaa sawa..
Wazinguaji watupu hakuna jipya kabisa
Umemaliza?
Hawa waiisikia risasi huwa wanakimbiaGSU hawa hapa
View attachment 1245175
GSU huyu hapa anawapa HI
View attachment 1245177
Jamaa Kiuno chembamba kweli
View attachment 1245180
Nataka nikupeleke pole pole hadi unyoroke[emoji23][emoji23]. Usikimbie tafadhali.
Huyo Redsan umemwonaje? Huwa anatandika wabongo watatu hadi wanaziraiasee budaa msalmie redsan msalmie pia sharamaa usimsaau avril niko apa naskiza streactly kenyan earadio
karibu bongo ugonge balimi haahaahaa
Jeshi la Mgambo Tanzania (Jeshi la Akiba)
View attachment 1245137
View attachment 1245140
View attachment 1245141
View attachment 1245143
View attachment 1245144