NEVADA
JF-Expert Member
- Oct 15, 2017
- 458
- 940
Hiyo ni paramilitary wing ya police . In short unaweza kuwaita police commandos . Kibongo bongo ni kama FFU tu
Sijaelewa, yaani hiyo ndio kama Tanzania tunaita National Service au?
Tanzania national service (JKT) wapo mbali wanajenga barabara, maghorofa, wanamiliki viwanda, mashamba makubwa, ufugaji mkubwa, shughuli za uvuvi, security company na mengine mengi, wapo kiuzalishaji zaidi