Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,537
- 13,004
Hatujaiga kitu, huu ndio mtindo duniani kote, nafkiri nyie bado mko era ya Idd Amin! Kuangukia pua, yule mmoja aliyeumia ndio unaongelea, basi ni ajali tu ile kwa waume wa paratrooping sio ajabu na sio wa kwanza duniani. Tulifanya, Tumefanya, Tutafanya, mpaka mkome! 🤣 🤣 🤣So na nyie mkaiga...mkaangukia pua