Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
mi naangalia you tube wamesema mitambo yao imezimwa asubuhi lakini wanapatikana you tube live ntaendelea kuwajuza mpaka sasa raila hajajitokeza waandishi wa habari wapo pale tangu saa12 asabuhi hakuna dalili a odinga
Hata Besigye wa Uganda alijiapisha pia, mbona hamkufwatili aUganda kama mnavyofwatlia Kenya, hata Burundi, na sasa Kongo ni hivyo hivyo wote hawa wanaleta Wakimbizi lkn hamfwatilii na kuleta breaking news hapa kama vile mnavyofwatilia Kenya, hivyo hiyo siyo sababu!
Sasa mambo ya kuapishwa kwa Raila na Lisu yana uhusiano gani?Kweli Tundu Lisu noma, kila anachogusa kinapata matatizo, hawa si ndo walirusha habari za Tundu Lisu kuitukana nchi yetu? Sasa Payback time!
Halafu tukisema Demokrasia ina mipaka tunachekwa na kukebehiwa, watu wanamuita Raisi wetu ,,Dikteta” haya sasa Mwanademokrasia wenu Namba Moja Afrika, Uhuru Kenya kafungia Vituo vya TV!
Wafuasi sugu ruko tayari kuutetea mustakabali wa nchi hii!
View attachment 687511View attachment 687512
I concur...They are making it a big deal more than it would have been if they just ignored it...Afterall they have someone in office already..This stalemate needs to end..These men need to sit down now and talk man to man... (not for nusu mkate but for peace sake)...I wonder what Godec has to say about this...Although I don’t support this swearing in drama, I hate to see this kind of censorship of media. It’s quite characteristic of dictatorship ways and a stupid move in general. I personally don’t see like the swearing in is going to result in anything but it can be clearly seen that Uhuru and Ruto are terrified by it.
Cha malkia hicho.Kakingereza kadogo kamekutoa jasho hivyo ndugu..[emoji87]
Hila wakenya mi nawakubari saana , sio watu wa ndio mzeeCommunication Authority(C.A) imezima mitambo ya Nation Tv(NTV) na CITIZEN Tv. Hii ni baada ya wao kukataa kufata agizo lao la kutopeperusha live hafla ya kuapishwa kwa RAO, pale bustani ya Uhuru Park, Nairobi.
Umepata pa kusemea et ,unaona pointi sana hiyoKweli Tundu Lisu noma, kila anachogusa kinapata matatizo, hawa si ndo walirusha habari za Tundu Lisu kuitukana nchi yetu? Sasa Payback time!
Halafu tukisema Demokrasia ina mipaka tunachekwa na kukebehiwa, watu wanamuita Raisi wetu ,,Dikteta” haya sasa Mwanademokrasia wenu Namba Moja Afrika, Uhuru Kenya kafungia Vituo vya TV!
Ila jirani zetu watz mnatujali sana. Leo nimedhibitisha hayo, kwenye uzi huu. Shukran zangu nazitwaa, kwa niaba ya wakenya wote.Hila wakenya mi nawakubari saana , sio watu wa ndio mzee
Anataka serikali ya Mseto awe Waziri Mkuu kama ilivyokuwa awali...Kipindi cha Mwai KibakiRaila anachokitafuta ni nini?
Mhhh, I cant comprehend
KTN NEWS ilikuwa inaonyesha live nayo SHUTDOWN'citizentv channel 112, startimes mpaka hivi sasa haipo hewani.