KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!

KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!

Hata Besigye wa Uganda alijiapisha pia, mbona hamkufwatili aUganda kama mnavyofwatlia Kenya, hata Burundi, na sasa Kongo ni hivyo hivyo wote hawa wanaleta Wakimbizi lkn hamfwatilii na kuleta breaking news hapa kama vile mnavyofwatilia Kenya, hivyo hiyo siyo sababu!

Barbarosa,
Kijana,
Duuuh.

Sawa.
 
Barbarosa,
Kijana,
Duuuh.

Sawa.
photo.jpg

Johnson WamutuRIGGING NDO SWAG
photo.jpg

Trap Kingnauza Samantha Nataka dem tunezapiga biz
photo.jpg

honie emperesswater melon coward kigeu geu
photo.jpg

254frank pjoywhat is happening
photo.jpg

jason robertbabbbaaaaaaaaaaa!
photo.jpg

Olpha Manenokwani ni adverts tu ndo tunaona
photo.jpg

jason ongechintv
photo.jpg

casmir churchillwhat is inooro tv for yawa
photo.jpg

Trap Kingndume atalamba stock
photo.jpg

Khadija Kimarhizi advert n za nnlkn siku zote c twazion
 
Kweli Tundu Lisu noma, kila anachogusa kinapata matatizo, hawa si ndo walirusha habari za Tundu Lisu kuitukana nchi yetu? Sasa Payback time!

Halafu tukisema Demokrasia ina mipaka tunachekwa na kukebehiwa, watu wanamuita Raisi wetu ,,Dikteta” haya sasa Mwanademokrasia wenu Namba Moja Afrika, Uhuru Kenya kafungia Vituo vya TV!
Sasa mambo ya kuapishwa kwa Raila na Lisu yana uhusiano gani?
 
Safari yetu toka hapa mombasani kuelekea nairobee kumuapisha rao imeiva mazee!
FB_IMG_1517304763913.jpg
 
Alitaka Kenyatta apeleke jeshi akamwage damu kawazidi akili kawaachia wajiapishe yaani mjini hakuna hata mgambo.
 
Hivi siku hizi vyombo vya habari vya Kenya vinapangiwa nini cha kuonesha mubashara??
 
Although I don’t support this swearing in drama, I hate to see this kind of censorship of media. It’s quite characteristic of dictatorship ways and a stupid move in general. I personally don’t see like the swearing in is going to result in anything but it can be clearly seen that Uhuru and Ruto are terrified by it.
I concur...They are making it a big deal more than it would have been if they just ignored it...Afterall they have someone in office already..This stalemate needs to end..These men need to sit down now and talk man to man... (not for nusu mkate but for peace sake)...I wonder what Godec has to say about this...
 
Kweli Tundu Lisu noma, kila anachogusa kinapata matatizo, hawa si ndo walirusha habari za Tundu Lisu kuitukana nchi yetu? Sasa Payback time!

Halafu tukisema Demokrasia ina mipaka tunachekwa na kukebehiwa, watu wanamuita Raisi wetu ,,Dikteta” haya sasa Mwanademokrasia wenu Namba Moja Afrika, Uhuru Kenya kafungia Vituo vya TV!
Umepata pa kusemea et ,unaona pointi sana hiyo
 
citizentv channel 112, startimes mpaka hivi sasa haipo hewani.
 
Odinga ana supporters wengi sana, halafu wengi wanaongea kijaluo tu
 
Back
Top Bottom