KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!

Wana JF...,

Hebu tujiulize.., kuna sababu gani ya Raisi Kenyatta kuvizuia vyombo vya habari kufanya kazi yake..?!
Mimi sioni sababu..!

Ni hivi.., kwa mujibu wa Katiba ya Kenya , utaratibu wote wa kumpata Raisi ulikwisha fanywa na raisi yupo kwa mujibu wa Katiba hiyo.. Mamlaka zote za Dola zipo chini ya Raisi Kenyatta kwa mujibu wa Katiba..

Hata kama kuna uchakachuaji uliofanyika wakati wa kuhesabu kura.., lakini vyombo na mamlaka zote za nchi za Kikatiba.., zilikubali, mchakato ule, na sasa zinatii Raisi aliyepo madarakani ..

Katiba ya Kenya, inatamka wazi namna ya kumwapisha Raisi wa nchi.., na mamlaka za Kikatiba za kumwapisha Raisi zimetajwa na Katiba hiyo..

Sasa tujiulize, kwa nini Raisi Kenyatta anahofia kitendo cha Raila kuapishwa huko vichochoroni, tena kuapishwa nje ya utaratibu wa Katiba ya Kenya .. ?!

Jee, ni sahihi Raisi kukimbizana na vichaa huko barabarani..? Jee, ni sahihi Raisi Kenyatta kuzuia wakenya kupata taarifa ya kitendo hicho kisicho na madhara kwake yeye wala Serikali yake..?

Ningekuwa mimi Raisi Kenyatta ningetumia akili ya kisiasa na sio UDIKTETA kupambana na akili ya siasa ya bwana Raila Odinga..
 
There's no democracy without respecting the Constitution and the rule of law huyo odinga lazima afuate sheria na media zifuate sheria hapo tutaenda sawa.

Safi sana Uhuru kwa kuenda sambamba na kasi ya JPM
 
Hizo media zimefungiwa baada ya kurusha taarifa ya kuapishwa rais mpya wa Kenya raila odinga.rais wa zamani Kenyatta kachukia.
Mkuu unaingia kwenye kundi la uchochezi sasa. .
 
Waambieni TBC warushe.
 
Ah we nawe, sasa uchaguzi umefanyika, na mshindi ametangazwa na ameapishwa

Anakuja mtu mwingine kusema ameshinda yy na anaapishwa na wahuni

Kwaiyo democracy unayotaka ww hapo ni ipi?


Tena alitakiwa wamkamate na kumfunga kabisa coz anachochea vita
Na jinsi alivyo mnafiki hali hii ingetokea Tanzania unajua angefagilia upande gani.
 
Pelekeni TBC wakarushe.
 
njoo pm ..
kiufupu leo Raila anaapishwa kuwa rais wa kenya kwa hio kenya kutakuwa na marais wawili

Hii siasa ya Kenya bila panadol ni ngumu kuielewa, na katiba ya Kenya inasemaje kuhusu hili?
 
Simply wafungue SERVER ya IEBC wahakikishe kama Black is Black na White siyo Off White......
 
Msimamo wa serikali ni upi? Mwanasheria mkuu alimwonya Raila kwamba akiapishwa atashtakiwa kwa uhaini. Leo 30Jan Raila anapanga kuapishwa serikali inafungia vyombo vilivyojiandaa kurusha kiapo hicho.Kwa nini serikali inababaika?
Hivi Kiza Besigye alipoapishwa 2016 aliishia wapi?
 

ABEL SAITOTIteam WiFi

Rooz Roozmyambo wa punda,security withdrawn afro cinema contunies

Charles Obiri OmurwaWatching live from CANAAN.

gilbert kiropCRE NOTES AVAILABLE

Young Vanny@fred Oluoch location?

Esther Gachogubudles mwitu

nduhiu mutituHii canaan ni kama hell

Raphael WoodsNauza kdf apa kwa podium 🙂

Trooviez9need that nokia

Bryan Gibzwatu wa diaspora tuko ndani. wacha wazime jua sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…