Kenya GSU parade - fire

Kenya GSU parade - fire

Tanzania kila kitu ni jeshi
1. Jeshi la polisi
2. Jeshi la magereza
3. Jeshi la zimamoto na uokoaji
4. Jeshi la kujenga taifa
5. Jeshi la akiba
6. Jeshi la wananchi
7. Jeshi la kutuliza ghasia
8. Jeshi la nchi kavu
9. Jeshi la anga
10. Jeshi la majini
11. Jeshi la sungusungu

Usilinganishe Tanzania na vitu vya kijinga.
ot pic-8269-2.jpg
ot pic-8283.jpg
ot pic-8323.jpg
 
Kuna jamaa yangu 2017 alikuwa kwa platoon Fulani yenye ilipeleka reinforcement kulbiyo.This guys receive similar training in field tactics and weaponry to some extent.inorder to compliment each other when needed.

ElgpfhLXgAAuuk1-1.jpg
 
Polisi sio mwanajeshi we zuka
Unatakiwa ujifunze international cultures.

Ujifunze kwanza kuhusu Tanzania ndio uje kufanya arguments hapa.

Mafunzo yote ya ulinzi Tanzania yanaratibiwa na Jeshi la wananchi Tanzania.

Kabla ya mtu kuwa polisi anapitia mafunzo kutoka JWTZ kupitia JKT.

Ndio maana polisi kwa Tanzania inaitwa. Jeshi la polisi Tanzania.
Screenshot_20201107-101752.png
 
Kuna jamaa yangu 2017 alikuwa kwa platoon Fulani yenye ilipeleka reinforcement kulbiyo.This guys receive similar training in field tactics and weaponry to some extent.inorder to compliment each other when needed
View attachment 1621241
Infact team 18 of the gsu, is trained to the same level as KDF special operations regiment, while recce is trained to the same skill level as the british sas.

Administration police border patrol unit are trained to be equivalent to the 75th ranger regiment of the American army.
 
Tanzania kila kitu ni jeshi
1. Jeshi la polisi
2. Jeshi la magereza
3. Jeshi la zimamoto na uokoaji
4. Jeshi la kujenga taifa
5. Jeshi la akiba
6. Jeshi la wananchi
7. Jeshi la kutuliza ghasia
8. Jeshi la nchi kavu
9. Jeshi la anga
10. Jeshi la majini
11. Jeshi la sungusungu

Usilinganishe Tanzania na vitu vya kijinga.View attachment 1621215View attachment 1621216View attachment 1621217
Hivi mbona polisi wenyu tena wa kulinda rais wako na bunduki za kijinga hivi?
 
Unatakiwa ujifunze international cultures.
Ujifunze kwanza kuhusu Tanzania ndio uje kufanya arguments hapa.

Mafunzo yote ya ulinzi Tanzania yanaratibiwa na Jeshi la wananchi Tanzania.

Kabla ya mtu kuwa polisi anapitia mafunzo kutoka JWTZ kupitia JKT.

Ndio maana polisi kwa Tanzania inaitwa. Jeshi la polisi Tanzania.
View attachment 1621244
👍👍👍
 
Infact team 18 of the gsu, is trained to the same level as KDF special operations regiment, while recce is trained to the same skill level as the british sas.
Administration police border patrol unit are trained to be equivalent to the 75th ranger regiment of the American army.
In Tanzania FFU is similar to your GSU....FFU recruiters are from JKT(army) and yet they undergo special trainings in different tactical manouvres....
 
Unatakiwa ujifunze international cultures.
Ujifunze kwanza kuhusu Tanzania ndio uje kufanya arguments hapa.

Mafunzo yote ya ulinzi Tanzania yanaratibiwa na Jeshi la wananchi Tanzania.

Kabla ya mtu kuwa polisi anapitia mafunzo kutoka JWTZ kupitia JKT.

Ndio maana polisi kwa Tanzania inaitwa. Jeshi la polisi Tanzania.
View attachment 1621244
Narudia tena polisi sio mwanajeshi, kwn hku ndio hakuna..tena training ya NYS ni ya kufa mtu bado..
Training ya NYS we ukija unatoka
images.jpeg-30.jpg
 
usikariri popoma.

kwani mlipoweka police service kutoka force,imewaondolea uaskari wao???
Hapa tunaongelea kuhusu polisi km ni mwanajeshi...
Manake naona wewe una fosi tunawaite wanajeshi[emoji23]
 
hakuna bunduki ya kijinga,labda kama inatoa githeri.
Iko bunduki ya kijinga, hiyo waliobeba hawa accuracy yake iko chini sana, tena iko na recoil mingi.
Afadhali mununue bunduki kama za polisi ya kenya hizi hapa chini.

i) cz scorpion evo rifle kwa kila polisi
1604736445080.png

ii) M4A1 carbine ya special squads kama Team 18 ya gsu na recce
1604736880214.jpeg

iii) Glock pistol
1604735865934.png

iv) FN scar L ya special squads za polisi kama administration police special warfare force. Hii sii FN scar H ambayo ni ya KDF pekee .
1604736447458.jpeg
 
Back
Top Bottom