Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Wakunya wajue tu curriculum yetu ya majeshi tumetoa China, Russia, Korea, Cuba ni masnondo tupuMkuu kwa Tanzania ni tofauti mnooo....
Hebu muelewe mtoa hoja hapo Juu ya kwamba,hapa TZ,POLISI huchukua vijana wa JKT na kuwapeleka CCP Moshi kuwafundisha....vijana hao wa JKT wamefundishwa UJESHI...na wanapokwenda MOSHI husomeshwa UPOLISI....
Mbona hata Jeshini kuna MILITARY POLICE...kwa hiyo hao MPs si WANAJESHI?!!!
Tanzania hoyeeeeee!!
Sio wale machokoraa wao vibaka wa biscuits 😅😅😅