Polisi sio mwanajeshi weTanzania kila kitu ni jeshi
1. Jeshi la polisi
2. Jeshi la magereza
3. Jeshi la zimamoto na uokoaji
4. Jeshi la kujenga taifa
5. Jeshi la akiba
6. Jeshi la wananchi
7. Jeshi la kutuliza ghasia
8. Jeshi la nchi kavu
9. Jeshi la anga
10. Jeshi la majini
11. Jeshi la sungusungu
Usilinganishe Tanzania na vitu vya kijinga.View attachment 1621215View attachment 1621216View attachment 1621217
Unatakiwa ujifunze international cultures.Polisi sio mwanajeshi we zuka
Infact team 18 of the gsu, is trained to the same level as KDF special operations regiment, while recce is trained to the same skill level as the british sas.Kuna jamaa yangu 2017 alikuwa kwa platoon Fulani yenye ilipeleka reinforcement kulbiyo.This guys receive similar training in field tactics and weaponry to some extent.inorder to compliment each other when needed
View attachment 1621241
Hivi mbona polisi wenyu tena wa kulinda rais wako na bunduki za kijinga hivi?Tanzania kila kitu ni jeshi
1. Jeshi la polisi
2. Jeshi la magereza
3. Jeshi la zimamoto na uokoaji
4. Jeshi la kujenga taifa
5. Jeshi la akiba
6. Jeshi la wananchi
7. Jeshi la kutuliza ghasia
8. Jeshi la nchi kavu
9. Jeshi la anga
10. Jeshi la majini
11. Jeshi la sungusungu
Usilinganishe Tanzania na vitu vya kijinga.View attachment 1621215View attachment 1621216View attachment 1621217
Kwani mlipoweka police service kutoka force,imewaondolea uaskari wao?Polisi sio mwanajeshi we
π€£π€£Wako vizuri sana hawa vijana....
ππTanzania kila kitu ni jeshi
1. Jeshi la polisi
2. Jeshi la magereza
3. Jeshi la zimamoto na uokoaji
4. Jeshi la kujenga taifa
5. Jeshi la akiba
6. Jeshi la wananchi
7. Jeshi la kutuliza ghasia
8. Jeshi la nchi kavu
9. Jeshi la anga
10. Jeshi la majini
11. Jeshi la sungusungu
Usilinganishe Tanzania na vitu vya kijinga.View attachment 1621215View attachment 1621216View attachment 1621217
πππUnatakiwa ujifunze international cultures.
Ujifunze kwanza kuhusu Tanzania ndio uje kufanya arguments hapa.
Mafunzo yote ya ulinzi Tanzania yanaratibiwa na Jeshi la wananchi Tanzania.
Kabla ya mtu kuwa polisi anapitia mafunzo kutoka JWTZ kupitia JKT.
Ndio maana polisi kwa Tanzania inaitwa. Jeshi la polisi Tanzania.
View attachment 1621244
Hivi mbona polisi wenyu tena wa kulinda rais wako na bunduki za kijinga hivi?
In Tanzania FFU is similar to your GSU....FFU recruiters are from JKT(army) and yet they undergo special trainings in different tactical manouvres....Infact team 18 of the gsu, is trained to the same level as KDF special operations regiment, while recce is trained to the same skill level as the british sas.
Administration police border patrol unit are trained to be equivalent to the 75th ranger regiment of the American army.
Narudia tena polisi sio mwanajeshi, kwn hku ndio hakuna..tena training ya NYS ni ya kufa mtu bado..Unatakiwa ujifunze international cultures.
Ujifunze kwanza kuhusu Tanzania ndio uje kufanya arguments hapa.
Mafunzo yote ya ulinzi Tanzania yanaratibiwa na Jeshi la wananchi Tanzania.
Kabla ya mtu kuwa polisi anapitia mafunzo kutoka JWTZ kupitia JKT.
Ndio maana polisi kwa Tanzania inaitwa. Jeshi la polisi Tanzania.
View attachment 1621244
Hapa tunaongelea kuhusu polisi km ni mwanajeshi...usikariri popoma.
kwani mlipoweka police service kutoka force,imewaondolea uaskari wao???
Hao ndio wanajeshi sasa[emoji23][emoji23]Tanzania kila kitu ni jeshi
1. Jeshi la polisi
2. Jeshi la magereza
3. Jeshi la zimamoto na uokoaji
4. Jeshi la kujenga taifa
5. Jeshi la akiba
6. Jeshi la wananchi
7. Jeshi la kutuliza ghasia
8. Jeshi la nchi kavu
9. Jeshi la anga
10. Jeshi la majini
11. Jeshi la sungusungu
Usilinganishe Tanzania na vitu vya kijinga.View attachment 1621215View attachment 1621216View attachment 1621217
Iko bunduki ya kijinga, hiyo waliobeba hawa accuracy yake iko chini sana, tena iko na recoil mingi.hakuna bunduki ya kijinga,labda kama inatoa githeri.