Kenya GSU parade - fire

Wakunya wajue tu curriculum yetu ya majeshi tumetoa China, Russia, Korea, Cuba ni masnondo tupu

Sio wale machokoraa wao vibaka wa biscuits πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Usilolijua litakusumbua hapo vipo vikosi zaidi ya vi3, unachokiongelea wewe ukifikiri hawapo ni TISS, wapo hapo wa kutosha na mavazi ya kiraia
 
Wakunya wajue tu curriculum yetu ya majeshi tumetoa China, Russia, Korea, Cuba ni masnondo tupu

Sio wale machokoraa wao vibaka wa biscuits πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ndio mlitoroka DRC baada ya kupewa kichapo cha mbwa kuingia msikitini na watoto waliojihami na panga. Walikata wanajeshi 17 wa TPDF na mmoja mpaka leo hajapatikana. Ilibidi majeshi ya nepal waje kuokoa tpdf kutoka kwa hilo genge la watoto.
 
Hahahaha sasa hayo mabeleshi wanapeleka wapi? [emoji28][emoji28][emoji28]

Lakini bora hawa wabeba mabeleshi kuliko KDF wenye bunduki lakini bado ni shoplifters tena lifting chocolate and soft drinks [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hku nys ndio wavunja matofali[emoji23][emoji23]
 
Ndio mlitoroka DRC baada ya kupewa kichapo cha mbwa kuingia msikitini na watoto waliojihami na panga. Walikata wanajeshi 17 wa TPDF na mmoja mpaka leo hajapatikana. Ilibidi majeshi ya nepal waje kuokoa tpdf kutoka kwa hilo genge la watoto.
Story za kujifariji, CIA wamedhibitisha kupitia cctv camera Westgate KDF wakiiba Jojo, milkshake, chocolates, biscuits, juice πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hiyo aibu haiondoki leo wala kesho
 
kama utataka kueleweshwa tuliza kalio.ila ukiendelea kuruka ruka namna hii hatutafanikisha zoezi la kuondoa ujinga kichwani kwako.
 
Kwn si hata NYS ni hvo hvo, au unafikiria vijana wetu wa nys hawachaguliwi kwenda kdf, Ap, Kp, Gsu..

Na usisahau km hao jamaa wanapitia para millitary training pia, yani huaga tatizo lenu ni exposure huaga mnafikiria vitu vingine hku kwetu havipo..

kama vipo kwenu basi vinafanywa kizushi.

usingeshangaa sisi kuita polisi jeshi.labda sababu mnaiga wanaume zenu na mmeziba masikio ndio unakosa exposure kudhani hivyo ndio formular duniani.

nenda china kajifunze jeshi la kijamaa limekaa mfumo gani.
 
Story za kujifariji, CIA wamedhibitisha kupitia cctv camera Westgate KDF wakiiba Jojo, milkshake, chocolates, biscuits, juice πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hiyo aibu haiondoki leo wala kesho
Unakumbuka juzi mkipigwa kichapo tena na watoto wa hapo hapo tanzania, tpdf wakatoroka wakaacha silaha, alafu ile dhow ya kuvulia samaki ya TPDF navy, ikalipuliwa hapo mozambique?
 
tukisema nyinyi weupe vichwani mnashangaa how!!!

hizo bunduki umeona PSU ni close range,inaangaliwa flexibility etc,sio unabeba beba silaha tu ilimradi inatoa risasi,kupiga mpaka upishwe na watu ndio unarenga.
[emoji23][emoji23][emoji23]siwezi kuweka kila kitu hapa,ila itoshe kusema,squard ya kenyata haina watu wanaozijua kazi zao vyema.
 
kama vipo kwenu basi vinafanywa kizushi.

usingeshangaa sisi kuita polisi jeshi.labda sababu mnaiga wanaume zenu na mmeziba masikio ndio unakosa exposure kudhani hivyo ndio formular duniani.

nenda china kajifunze jeshi la kijamaa limekaa mfumo gani.
China hivi majuzi walipigwa na india kwa mpaka wakashindwa kuhusu hilo tukio.
 
unasemaje wewe[emoji28][emoji28],wanajeshi wa india wameuawawa karibia 10 mpaka pande za usuruhishi zimeitishwa unaandika nini wewe???

miaka kibao wahindi wanapigwa mipakani na wapakistani na wachina ndio kabisaa.
 
Kweli haujui close range ni nini!!! Hiyo yenye iko na recoil mingi kwa close range utauliwa. Yani mliona ukubwa mkasema hiyo ndiyo mzuri bila kuangalia specifications
 
Wacha kujifanya hujui. India walitoa wenyewe habari ya kuwa 10 wamefariki lakini china walikufa 42 na hawakutaka kusema kawaida ya nchi ya communist. Kama walipiga india mbona sahi india imechukua mpaka hiyo post ya majeshi ya china ambayo iko hapo kwa mpaka?
 
Unakumbuka juzi mkipigwa kichapo tena na watoto wa hapo hapo tanzania, tpdf wakatoroka wakaacha silaha, alafu ile dhow ya kuvulia samaki ya TPDF navy, ikalipuliwa hapo mozambique?
Any evidence so far? Story za vijiweni

Kigogo ndio kasema? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
kwahiyo hawakusema,wewe umeambiwa na nani[emoji2][emoji2].

wakenya acheni ujuaji.
 
Kweli haujui close range ni nini!!! Hiyo yenye iko na recoil mingi kwa close range utauliwa. Yani mliona ukubwa mkasema hiyo ndiyo mzuri bila kuangalia specifications

acha ujuaji,hujui unaongea na nani hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…