Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,388
- 7,223
Evidence,,,Kenya in conjunction with turkey have been developing local capacity for making this drones.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Evidence,,,Kenya in conjunction with turkey have been developing local capacity for making this drones.
Infact team 18 of the gsu, is trained to the same level as KDF special operations regiment, while recce is trained to the same skill level as the british sas.
Administration police border patrol unit are trained to be equivalent to the 75th ranger regiment of the American army.
Hivi mbona polisi wenyu tena wa kulinda rais wako na bunduki za kijinga hivi?
Zii...ni swahiliDah hiki ni kiswahili au?
Ni wapi uliona wakiiba pesa?? Zile vitu tuliona wikichukua ni za jewelry za silver na za goldswewe mbuzi kweli[emoji28][emoji28]
polisi waibe bank sababu tu wanalinda pesa nyingi,sio 2 bob za manamba!!!
unajua maana ya dhamana wewe??
Ni wapi uliona wakiiba pesa?? Zile vitu tuliona wikichukua ni za jewelry za silver na za golds
Wa kulinda mali ya wakenya ni Administration Police na Kenya police sio wana GSU.ndio maana tunashangaa watu wanaotakiwa kulinda mali za watu ndio wanakuwa wakora.
mbay zaidi eneo walipo kuna kazi nzito imewapeleka.
Wa kulinda mali ya wakenya ni Administration Police na Kenya police sio wana GSU.
General Service Unit ni ya kumaliza na kufagia sio kulinda.
Ujinga uko nayo.. kdf ni ya kulinda taifa yote na hakuna vile watatoka kwa boundaries wakuje kuchukua mali ya wengine.so kdf hata wakichukua mali za wenyewe hamna tatizo!!!
Ujinga uko nayo.. kdf ni ya kulinda taifa yote na hakuna vile watatoka kwa boundaries wakuje kuchukua mali ya wengine.
TV yenye unatumia irudishe kwa mwenye alikuuzia.😎basi elewa kwanza nini hoja ndipo ujibu.
KDF walionekana wakikusanya mikufu westgate mall,ukakubali kwamba ni mikufu sio hela.
sijui hata ulikua unajibu kitu gani!!!!