Kenya hamna hospitali za kueleweka kwenye ukanda uliopakana na Kilimanjaro?

Si ni kama wa Znz wanavyo penda kula vya Tanganyika tu
 
♦️ Mkubwa hospitali sio majengo

♦️Mkubwa neno hospital likikosa hospotality sio hospitali

♦️Kenya kuna baadhi ya vitu haramu mnataka kuvifanya kuwa ndio mfumo halali wa maisha so called " KITU KIDOGO" si kwamba bongo hakuna lakini si kwa kiwango kama ninyi mlivyoweka order of the day. Angalau sisi tunaona ni dhambi na jamii yote inapambana na hatua zinachukuliwa.

♦️Kusema generaly kuwa huduma za afya kenya zipo chini nitakuwa nasema Rongo ( kwabkiswahili cha kenya) Kwani kuna ushahidi wa makabwela na viongozi wanaotibiwa baadhi ya hospitali za kenya

♦️Kinachoonekana kuna matabaka makubwa ya huduma za afya, makabwela wanatibiwa kwa fedha nyingi na watu wa chini wanakosa huduma msingi

♦️Bongo ni tofauti kidogo na ndio maana watu wa hali ya kawaida wa KENYA wanakuja kuponea Tanzania. Kwetu watu wote ni sawa na huduma zinatolewa sawa kwa wote, na hospitali zikiboreshwa zinakuwa na access ya watu wote na kwa bei reasonable
 
Your health system is below Kenya. When it comes to health these are what WHO considers to determine which has a better healthcare.

Doctor to population ratio
Hospital beds to population ratio
Number of hospitals per Capita.


Kwa hizo zote Tanzania inasoma number Kwa Kenya.
 
Hiyo umekariri na ni zilipendwa brother, sasa hivi kwa miaka ya karibuni Tanzania kila mtaa kumejengwa hospitali za kisasa. Ninyi najua ni mabingwa wa propaganda na markrting hivyo hiso data walizonazo WHO yawezekana ni hospitali za Tanzania zimeitwa za Kenya kama miaka ya nyuma mlivyokuwa mnafanya kwenye mlima kilamanjaro na serengeti.

Katika maisha, uhalisia huwa haujidanganyi, ndio maana wananchiwa kawaida wanamiminika Tanzania, hawawezi kupona kwa viwango vyenu mnavyosema vya w.h.o , pata muda tembelea K.C.M.C asilimia kubwa ya wagonjwa wanatoka Kenye
 
Hivyo viwango vyenu vya WHO mvitumie sasa wananchi wa kawaida wasisumbuke kuja hadi huku TZ kupata huduma.
 
Myamaza, hujui lolote kuhusu",Health system delivery, Mambo muhimu zaidi katika huduma za Afya ni
1)Service availability
2)Service accessibility
3)Quality of services

Wewe unazungumza quality of service ambayo inajumlisha hivyo vitu vya "ratio" za Doctors kwa wagonjwa, wakati wakenya wengi hawawezi ku "Access" huduma za Afya kwasababu ni ghali Sana, they can't afford which is the major reason why they are flocking to Tanzania

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hadi wamama wajawazito wanakuja kujifungulia Kilimanjaro..Kenya waache utani aiseee.
 
Wewe ni mjinga kweli. How will the service be available when you don't have doctors? No wonder hata Burundi iko mbele yenu in terms of health infrastructure.
 
Yet you are offering low quality services and that's why richer people are escaping your hospitals in favor for Kenya's.
 
Wewe ni mjinga kweli. How will the service be available when you don't have doctors? No wonder hata Burundi iko mbele yenu in terms of health infrastructure.
You don't have enough health providers, ndio maana juzi juzi 2019 I guess kenyatta kenyatta alitaka wataalam from Tz.
Ww unakuja na figures za who
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…