Kenya hamna hospitali za kueleweka kwenye ukanda uliopakana na Kilimanjaro?

Yet you are offering low quality services and that's why richer people are escaping your hospitals in favor for Kenya's.
We care more about poor and majority citizens than you stupid who always talk and care for few people who are richer, while majority of stupid people like you have nothing to eat, and when you get sick you cross border to Tanzania.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tundu Lissu alikuja Kenya kwa ajili ya Safety issues,alihofia watesi wake wasimmalizie hospitali za huku TZ..huhitaji university degree kuligundua hili.
You seems to be so much informed.now it could be better if you bring any statistics which put Tanzania general healthcare ahead of Kenya
 
Kuna jamaa yangu wa mombasa ndugu yake anaumwa kuna operesheni inabidi afanyiwe ikabidi aende nairobi,huko wamemuandikia aende india au muhimbili,tena hospitali kubwa ya nairobi ndio imemuandikia,jamaa wameangalia gharama mgonjwa wao wamemleta dar na yuko dar kwa ndugu zake na anaendelea poa kabisa,sasa njoo jf ukutane na wakenya wa humu wanavyojiproud while ndugu wanatibiwa TZ
Pale Muhimbili kuna huduma zinapatikana pale huwezi kuzipata East Africa nzima mfano bone marrow transplant na brain surgery without opening the skull, so option hapo zilikuwa mbili aje Tz au aende India.
 
Personally I think Tundu Lissuh is in a better position to answer this question ama hayuko huku?
Je mlimtibu? Yani kumuwekea mitungi ya gesi kwa masaa mawili matatu ili afike salama Belgium ndio mnajisifu mlimtibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
uzuri ranking ya WHO mko kundi moja na Somalia😅😅😅
 
We care more about poor and majority citizens than you stupid who always talk and care for few people who are richer, while majority of stupid people like you have nothing to eat, and when you get sick you cross border to Tanzania.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
uzuri ranking ya WHO mko kundi moja na Somalia[emoji28][emoji28][emoji28]
Ndiyo hivyo sasa tuko kundi moja na Somalia lkn mnakuja kujaza hospitali zetu, imefika kipindi mpaka hospitali yenu kubwa inatoa kibali mgonjwa aje Muhimbili au aende India [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uko na Data ama hujui ata Data ni Nini😄😄😄
Ndiyo hivyo sasa tuko kundi moja na Somalia lkn mnakuja kujaza hospitali zetu, imefika kipindi mpaka hospitali yenu kubwa inatoa kibali mgonjwa aje Muhimbili au aende India [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukweli ni huu.

-Kiujumla huduma za Afya za Tanzania kwa sehemu kubwa ziko katika standards&cost affordable kulingana na ngazi husika ikiwa utalinganisha na Kenya.

-Ni rahisi zaidi kwa mkenya kuvuka boda kufuata matibabu Tz kuliko mtanzania kuvuka boda kwenda Kenya kufuata matibabu kwa sababu za Ukarimu (uko zaidi Tz), Urafiki huduma(uko zaidi Tz), unafuu (uko zaidi Tz) na uhakika (uko zaidi Tz). Siasa za chuki za Magufuli zilivuruga hii situation kwa sehemu.

-Hospitali nyingi za Kenya za pembezoni na mashambani zimepewa hadhi kama hospitali za rufaa lakini kiuhalisia hazina hadhi hiyo, na ukiweza kuzileta Tz hadhi yake ni sawa na hospitali za wilaya au hadhi ya vituo vya afya vilivyoboreshwa. Wakenya ni watu wanaopenda kujiboost na kubold mambo yao hata kama ni mambo madogo sana au madhaifu, lengo lao hasa ni kupata sifa au hadhi ya juu.

-Nairobi kuna hospitali nzuri na za kisasa sana (sawa na Dar au zaidi ya Dar), shida kubwa ni gharama yake kuwa kubwa sana ili kuweza kutibiwa pale. Wakenya wa hali ya chini na kati wanaona ni nafuu kukimbilia Tanzania kuja kutibiwa. Tiba ambayo ingemgharimu shilingi laki Tano hapa Tanzania basi Tiba hiyo hiyo angeipata Nairobi kwa kiasi kisichopungua Milioni Tano.

NOTE
Binafsi sioni kama ni utu, ubinadamu au heshima kumsengenya kwa utaifa wake mgonjwa anayetoka nchi yake kuja kutafuta tiba nchi nyingine ya jirani, ama kudhihaki huduma za tiba za nchi nyingine kisa tu kuna wagonjwa wanakimbia hiyo nchi kufuata tiba nchi nyingine. Haya ni mambo ya kutegemeana na sio kushindana kiushabiki. Uhai na Afya ya mtu ni neema za mwenyezi Mungu, ukipata fursa ya kuboresha uhai au afya ya mtu, basi umrudishie muumba utukufu huo.

I like the NOTE....well said mkuu
 
Post yako nzuri sana
 
We care more about poor and majority citizens than you stupid who always talk and care for few people who are richer, while majority of stupid people like you have nothing to eat, and when you get sick you cross border to Tanzania.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Your people come to Kenya daily for better treatment yet you are here still parroting.
 
Back
Top Bottom