Asante Kiba kwa somo ulompa Chibu.
Low profile ladies ndo huolewa, wanawake maarufu ,mnaojifanya mu wazuri ,mbwembwe kibao ,sijui mawowow, mtabakia kubaki na mikalio yenu ivoivo,, sana sana tutawaachia kumbukumbu "mtoto". Na ohooooo sina bahati ,bahati??? Kua wife material sio kazi yakitoto!!!.
Alaf kuweni na akili ya ziada , mwanamme atakutumia weeeeee alafu anaenda kuoa mwanamke mwingine ,najina lako hutajwa km sehemu yaushuhuda,..utasikia " Nilikua na mwanamke nyoka nyoka nyokaaa, nashukuru nmempata Malaika wangu tunayefanan".
Hapo ndo akili ya mwanamme ilifanikiwa !!! .