KENYA: Harusi ya Alikiba katika Msikiti wa Ummul Kulthum Mombasa

KENYA: Harusi ya Alikiba katika Msikiti wa Ummul Kulthum Mombasa

Asante Kiba kwa somo ulompa Chibu.

Low profile ladies ndo huolewa, wanawake maarufu ,mnaojifanya mu wazuri ,mbwembwe kibao ,sijui mawowow, mtabakia kubaki na mikalio yenu ivoivo,, sana sana tutawaachia kumbukumbu "mtoto". Na ohooooo sina bahati ,bahati??? Kua wife material sio kazi yakitoto!!!.

Alaf kuweni na akili ya ziada , mwanamme atakutumia weeeeee alafu anaenda kuoa mwanamke mwingine ,najina lako hutajwa km sehemu yaushuhuda,..utasikia " Nilikua na mwanamke nyoka nyoka nyokaaa, nashukuru nmempata Malaika wangu tunayefanan".

Hapo ndo akili ya mwanamme ilifanikiwa !!! .
 
Sikia maneno ya alikiba baada ya kuhojiwa kwa nini kuoa Kenya na sio Tanzania

Mambooo ni [emoji91] [emoji91] sijui m ntaoa WAP au RWANDA!!??[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Da Mange atasema Kiba anatumiwa na Makonda
Ili kututoa kwenye Maandamano
 
Dah...safi sana Kiba...Ni vizuri tukaanza kuchanganya na vizazi vingine..Labda akili zetu watz baada ya miaka 20 hivi zitabadilika.....🙂
 
Mianamke ya bongo ijifunze maana yenyewe ishazoea kutongozwa
na kukubali hovyo hovyo kama maharage ya mbeya tu maji mara moja nani atawaoa sasa badirikeni kuweni na misimamo.....
Othewise tutawachapa na kuwaoa hatuwaowi tunaenda nchi za jirani
 
Dah....🙂
ali-kiba-rikesh10.png
 
Ndoa ni jambo la heri,hongera kijana kwa kuchukua maamuzi sahihi ni ngumu sana kwa kijana wa aina yako(maarufu) kuoa.
Inshaallah Allah akufanyie wepesi awashushie baraka wewe na mkeo na vizazi vyenu kadri atakavyowajaalia.
 
Back
Top Bottom