KENYA: Harusi ya Alikiba katika Msikiti wa Ummul Kulthum Mombasa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ***** Demiss Kanunaje muda huu.
 
Mianamke ya bongo ijifunze maana yenyewe ishazoea kutongozwa
na kukubali hovyo hovyo kama maharage ya mbeya tu maji mara moja nani atawaoa sasa badirikeni kuweni na misimamo.....
Othewise tutawachapa na kuwaoa hatuwaowi tunaenda nchi za jirani
Mbona povu ..
 
Kuoa ni maproblems tu, hata uoe wa Kenya au India wote wanafanana
 
event ya ali kiba kujivutia jiko mtt mtamu kutoka katika kaunti ya mombasa (kimombasa mombasa sugar bby) Ipo kwa hewa sa hii si wengine bali ni [HASHTAG]#azamtv[/HASHTAG] kupitia Sinema Zetu chanel 103 halaaaaaaaaaaa.

Ni mtazamo tyuu cna timu mm ni [HASHTAG]#madriddamu[/HASHTAG]
 
Tumeshuhudia Harusi hii iliyotikisa afrika mashariki kwa Tv ikiwa mubashara,Mume akiwa mtanzania nimejiuliza utamaduni ule wa visu Na majambia ni wa kabila lipi hapa Tanzania?
Waarabu na wangazija wenye uraia pacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…