rashidymdoe
Member
- May 16, 2017
- 79
- 45
Nasubili zile team za jadi na maneno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona povu ..Mianamke ya bongo ijifunze maana yenyewe ishazoea kutongozwa
na kukubali hovyo hovyo kama maharage ya mbeya tu maji mara moja nani atawaoa sasa badirikeni kuweni na misimamo.....
Othewise tutawachapa na kuwaoa hatuwaowi tunaenda nchi za jirani
Hiv kwann mnapendaaa kunichokozaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ***** Demiss Kanunaje muda huu.
Kuna kitu kinaitwa Karma...tuwe na subra...kutesa huwa ni kwa zamuKati ya wanawake aliowazalisha wote hakuna aliemfaa kaenda kuolewa ambae hajazaa ,wanaume Mungu anawaoana
Alikuwa na UTAPIA MLO wa FIKRA...maana ile kuweka MAJAMBIA NA VILEMBA ni tamaduni za watu wa OMAN...sasa sijuwi alimaanisha nn?Tumeshuhudia Harusi hii iliyotikisa afrika mashariki kwa Tv ikiwa mubashara,Mume akiwa mtanzania nimejiuliza utamaduni ule wa visu Na majambia ni wa kabila lipi hapa Tanzania?
Na mabwana harusi wanapovaa suti na tai hutumia utamaduni wa kabila gani?Alikuwa na UTAPIA MLO wa FIKRA...maana ile kuweka MAJAMBIA NA VILEMBA ni tamaduni za watu wa OMAN...sasa sijuwi alimaanisha nn?
Waarabu na wangazija wenye uraia pachaTumeshuhudia Harusi hii iliyotikisa afrika mashariki kwa Tv ikiwa mubashara,Mume akiwa mtanzania nimejiuliza utamaduni ule wa visu Na majambia ni wa kabila lipi hapa Tanzania?
Ukijibiwa nitagNa mabwana harusi wanapovaa suti na tai hutumia utamaduni wa kabila gani?