KENYA: Harusi ya Alikiba katika Msikiti wa Ummul Kulthum Mombasa

Tumeshuhudia Harusi hii iliyotikisa afrika mashariki kwa Tv ikiwa mubashara,Mume akiwa mtanzania nimejiuliza utamaduni ule wa visu Na majambia ni wa kabila lipi hapa Tanzania?
Quran na biblia akimaanisha yuko tayar kumpigania saa yoyote ili mama watoto awe salama
 
Tumeshuhudia Harusi hii iliyotikisa afrika mashariki kwa Tv ikiwa mubashara,Mume akiwa mtanzania nimejiuliza utamaduni ule wa visu Na majambia ni wa kabila lipi hapa Tanzania?
KWANI UTAMADUNI WA MASUTI NA MASHELA YA MAHARUSI NI UTAMADUNI WA KABILA GANI HAPA TANZANIA???
 
Tumeshuhudia Harusi hii iliyotikisa afrika mashariki kwa Tv ikiwa mubashara,Mume akiwa mtanzania nimejiuliza utamaduni ule wa visu Na majambia ni wa kabila lipi hapa Tanzania?
Na ww hyo kuvaa surual, na shati au tshart ni utamaduni wa wapi.
Acha kuwaza pumba
 
Ndo nini sasa
 
Alikuwa na UTAPIA MLO wa FIKRA...maana ile kuweka MAJAMBIA NA VILEMBA ni tamaduni za watu wa OMAN...sasa sijuwi alimaanisha nn?
Acha hizo. Dini yake inamruhusu. Kaa kimya kama hujui.
 
duuuh umetisha sana mkuu hahaaaaa
 
Mtendee haki mkeo, harusi na sherehe ya harusi ni kwaajili ya mwanamke, wewe ni sex.
 
Tumeshuhudia Harusi hii iliyotikisa afrika mashariki kwa Tv ikiwa mubashara,Mume akiwa mtanzania nimejiuliza utamaduni ule wa visu Na majambia ni wa kabila lipi hapa Tanzania?

Kabila ni ushenzi, ukiwa na kabila wewe ni mshenzi!
 
Na mabwana harusi wanapovaa suti na tai hutumia utamaduni wa kabila gani?
Yani imeuliza kitu nilichotaka kuuliza pia.
Harusi zetu asilimia 90 ya tunayofanya siyo utamaduni wetu.
Kuvaa shera na suti siyo utamaduni wetu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…