KENYA: Harusi ya Alikiba katika Msikiti wa Ummul Kulthum Mombasa

Acha hizo. Dini yake inamruhusu. Kaa kimya kama hujui.
Dini gan inayoruhusu kuvaa JAMBIA kiunoni?kwn hujuwi wapo pia waarabu wakristo?ambao na wao wanavaa MAJAMBIA?huo ni utamaduni wa waarabu na sio dini..
 
Jambia ni utamaduni wa watu wa kisiwa cha Mombasa
 
hayo majambia ni utamaduni wa wamasai na sio dini,au manyapala wa kiarabu huko oman,
 
Mko wengi sana mliodanganywa na king kua mtaolewa,pole sana.
Kwani kuvaa 3 piece suit wamedanganywa na nani? na Mmasai anapokuwa amebeba silaha siku anapokwenda kuoa naye amedanganywa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…