mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Dini gan inayoruhusu kuvaa JAMBIA kiunoni?kwn hujuwi wapo pia waarabu wakristo?ambao na wao wanavaa MAJAMBIA?huo ni utamaduni wa waarabu na sio dini..Acha hizo. Dini yake inamruhusu. Kaa kimya kama hujui.