My friend me am a hustler since day one....Mimi niliacha kulipiwa school fees nilipofika secondary.......ππππWewe shule ulienda kujifunza ku management ya mboga ili uweze kumalizia kula ugali....πππmulisaaa nimeulizia kwa rafiki yangu juu ya finda akaniambia alikuwa mwanafunzi bongolala kabisa, eti heri wazazi wangepeleka Ng'ombe hiyo shule badala yake finda.
Utalia sana mwaka huuπππKuna ng'ombe ingine inaitwa joto la jiwe ilileta hiyo tweet kwengine nikaiambia inahitaji kuona daktari ikadhani nabisha tu. Yaani for somebody to believe Tz has 85k paved roads inafanya nishangae kama ushawai ingia darasani.
Wewe bwege kweli!!πππMimi navyoweka thread nataka utetezi au mtu aweke facts kupinga zangu??πππHadi muda huu hamko na facts zaidi ya zakwangu...Unatuletea evidence za agency moja tu ya Tanroads...Weka za Tarura, Halmashauri Wilaya na Mikoa...ππππWewe itabidi watu wakupuuze maana aisei unayo matatizo seriously, sijui ulisomea shule gani na nitashangaa kama kuna Mtanzania humu atakusaidia kutetea huu uharo ulioleta
Kasome maana ya paved trunk road and unpaved trunk road...... paved trunk road ambayo unasema iko chini ya TANROAD ni kidogo sana.
Mimi nazungumzia kuhusu paved yote ya Tanzania sijui lini mulifikia 10,000km
Wanataka wakutoe kwenye reli!! Komaa hapo hapo.. [emoji23] [emoji23] [emoji23], leo umewatoa povu. Mpaka JF imetakata [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Wewe bwege kweli!![emoji23][emoji23][emoji23]Mimi navyoweka thread nataka utetezi au mtu aweke facts kupinga zangu??[emoji23][emoji23][emoji23]Hadi muda huu hamko na facts zaidi ya zakwangu...Unatuletea evidence za agency moja tu ya Tanroads...Weka za Tarura, Halmashauri Wilaya na Mikoa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe endelea kulia tu 2020 tutakuwa kwenye 100,000km..Hapa Kazi Tu!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye huyo anaongelea za Tanroads mimi na ongelea za agency zote...Hajaweka za halmashauri na Wilaya pamoja na TaruraππππEbu mueleze mwenzako aache umburula. Eti 85000km alafu anang'ang'ana kubishana.
Mada mezani ni ya barabara, wewe unaleta ishu za walimu, msee acha kuyumba [emoji23]!! Hii mada imewashika pabaya sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]Walipeni walimu wenu mishahara ipasavyo, la sivyo huu ndio utaendelea kua mwendo, kujianika balaa, nafuu huwa mnatumia Kiswahili, hivyo aibu yenu inabaki humu humu, otherwise mngekua mnachekwa sana nyie.
Mada mezani ni ya barabara, wewe unaleta ishu za walimu, msee acha kuyumba [emoji23]!! Hii mada imewashika pabaya sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaruka ruka kama kangaroo! Rudi kwenye mada, kwanini baada ya kupata Uhuru mmejenga barabara chache sana kwa kiwango cha lami?Nyie ni mfupa uliomshinda fisi, hata huyo Membe mnayemuita atawashindwa maana naona Magu ameshindwa kuwatoa kielimu.
Morning bbyLol.....wewe umeleta ushahidi UPI? You have the poorest road network in the region na 85000km ni surfaced.mlienda shuleni kusomea matusi na umbea
Lol...You're being histrionic I say. Kawaida ya bongolala.Bure kabisa When you know the meaning of a paved road you'll stop insulting me. Melissaaa the drama queen.
Jkasuku255 yukowapi?Ndiye kiboko chenu. Wewe na Melissaaa mnamuogopa kisa yeye huleta facts na kuwakera balaaMorning bby
Jkasuku255 yukowapi?Ndiye kiboko chenu. Wewe na Melissaaa mnamuogopa kisa yeye huleta facts na kuwakera balaa
Umemuuliza swali gumu sana.....Tegemea Povu....πππUnaruka ruka kama kangaroo! Rudi kwenye mada, kwanini baada ya kupata Uhuru mmejenga barabara chache sana kwa kiwango cha lami?
Nimekuwekea hadi picha ujue paved road ni nini lakini bado hushiki....ππππππLol.....wewe umeleta ushahidi UPI? You have the poorest road network in the region na 85000km ni surfaced.mlienda shuleni kusomea matusi na umbea
Lol...You're being histrionic I say. Kawaida ya bongolala.Bure kabisa When you know the meaning of a paved road you'll stop insulting me. Melissaaa the drama queen.
Imekula kwaoWa Kenya walivyo na akili ndogo povu litawatoka weee maana wao wanadhani wanatuzidi kila kitu na wanatamani kujifΓ nanisha na USA
Yani unatafita msaada...Mnabahati kwa sasa niko busy kidogo, lasivyo humu kungechimbika....Jkasuku255 yukowapi?Ndiye kiboko chenu. Wewe na Melissaaa mnamuogopa kisa yeye huleta facts na kuwakera balaa
Unaruka ruka kama kangaroo! Rudi kwenye mada, kwanini baada ya kupata Uhuru mmejenga barabara chache sana kwa kiwango cha lami?
Nakuona unalia sana...Nimewka facts mezani lakini nyinyi mnatoa mnachofikili..Mwenzako anataka ni deal na barabara za Tanroad pekee wakati hapo nimejumuisha na Tarura, Halmashauri na Wilaya..[emoji23][emoji23][emoji23]Mlikuwa hamjui hata maana ya paved roads[emoji23][emoji23][emoji23]π€£
DuhPovuπππππNaona uliomba thread inayohusu Paved Roads...Facts hizo hapo...πππππ
Kutojua kutumia lugha fulani kwa ufasaha na yenyewe ni aibu!!!???Walipeni walimu wenu mishahara ipasavyo, la sivyo huu ndio utaendelea kua mwendo, kujianika balaa, nafuu huwa mnatumia Kiswahili, hivyo aibu yenu inabaki humu humu, otherwise mngekua mnachekwa sana nyie.