- Thread starter
- #61
My friend me am a hustler since day one....Mimi niliacha kulipiwa school fees nilipofika secondary.......ππππWewe shule ulienda kujifunza ku management ya mboga ili uweze kumalizia kula ugali....πππmulisaaa nimeulizia kwa rafiki yangu juu ya finda akaniambia alikuwa mwanafunzi bongolala kabisa, eti heri wazazi wangepeleka Ng'ombe hiyo shule badala yake finda.