Kenya has less Paved Roads compared to Tanzania. (Kenya 44,100 km while Tanzania 85,000km)

Kenya has less Paved Roads compared to Tanzania. (Kenya 44,100 km while Tanzania 85,000km)

mulisaaa nimeulizia kwa rafiki yangu juu ya finda akaniambia alikuwa mwanafunzi bongolala kabisa, eti heri wazazi wangepeleka Ng'ombe hiyo shule badala yake finda.
My friend me am a hustler since day one....Mimi niliacha kulipiwa school fees nilipofika secondary.......πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Wewe shule ulienda kujifunza ku management ya mboga ili uweze kumalizia kula ugali....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna ng'ombe ingine inaitwa joto la jiwe ilileta hiyo tweet kwengine nikaiambia inahitaji kuona daktari ikadhani nabisha tu. Yaani for somebody to believe Tz has 85k paved roads inafanya nishangae kama ushawai ingia darasani.
Utalia sana mwaka huuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe itabidi watu wakupuuze maana aisei unayo matatizo seriously, sijui ulisomea shule gani na nitashangaa kama kuna Mtanzania humu atakusaidia kutetea huu uharo ulioleta
Kasome maana ya paved trunk road and unpaved trunk road...... paved trunk road ambayo unasema iko chini ya TANROAD ni kidogo sana.
Mimi nazungumzia kuhusu paved yote ya Tanzania sijui lini mulifikia 10,000km
Wewe bwege kweli!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mimi navyoweka thread nataka utetezi au mtu aweke facts kupinga zangu??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hadi muda huu hamko na facts zaidi ya zakwangu...Unatuletea evidence za agency moja tu ya Tanroads...Weka za Tarura, Halmashauri Wilaya na Mikoa...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe endelea kulia tu 2020 tutakuwa kwenye 100,000km..Hapa Kazi Tu!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe bwege kweli!![emoji23][emoji23][emoji23]Mimi navyoweka thread nataka utetezi au mtu aweke facts kupinga zangu??[emoji23][emoji23][emoji23]Hadi muda huu hamko na facts zaidi ya zakwangu...Unatuletea evidence za agency moja tu ya Tanroads...Weka za Tarura, Halmashauri Wilaya na Mikoa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe endelea kulia tu 2020 tutakuwa kwenye 100,000km..Hapa Kazi Tu!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Wanataka wakutoe kwenye reli!! Komaa hapo hapo.. [emoji23] [emoji23] [emoji23], leo umewatoa povu. Mpaka JF imetakata [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Ebu mueleze mwenzako aache umburula. Eti 85000km alafu anang'ang'ana kubishana.
Yeye huyo anaongelea za Tanroads mimi na ongelea za agency zote...Hajaweka za halmashauri na Wilaya pamoja na TaruraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Walipeni walimu wenu mishahara ipasavyo, la sivyo huu ndio utaendelea kua mwendo, kujianika balaa, nafuu huwa mnatumia Kiswahili, hivyo aibu yenu inabaki humu humu, otherwise mngekua mnachekwa sana nyie.
Mada mezani ni ya barabara, wewe unaleta ishu za walimu, msee acha kuyumba [emoji23]!! Hii mada imewashika pabaya sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mada mezani ni ya barabara, wewe unaleta ishu za walimu, msee acha kuyumba [emoji23]!! Hii mada imewashika pabaya sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nyie ni mfupa uliomshinda fisi, hata huyo Membe mnayemuita atawashindwa maana naona Magu ameshindwa kuwatoa kielimu.
 
Lol.....wewe umeleta ushahidi UPI? You have the poorest road network in the region na 85000km ni surfaced.mlienda shuleni kusomea matusi na umbea

Lol...You're being histrionic I say. Kawaida ya bongolala.Bure kabisa When you know the meaning of a paved road you'll stop insulting me. Melissaaa the drama queen.
Morning bby
 
Unaruka ruka kama kangaroo! Rudi kwenye mada, kwanini baada ya kupata Uhuru mmejenga barabara chache sana kwa kiwango cha lami?
Umemuuliza swali gumu sana.....Tegemea Povu....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lol.....wewe umeleta ushahidi UPI? You have the poorest road network in the region na 85000km ni surfaced.mlienda shuleni kusomea matusi na umbea

Lol...You're being histrionic I say. Kawaida ya bongolala.Bure kabisa When you know the meaning of a paved road you'll stop insulting me. Melissaaa the drama queen.
Nimekuwekea hadi picha ujue paved road ni nini lakini bado hushiki....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
2018-12-08_20.43.08.jpg
 
Jkasuku255 yukowapi?Ndiye kiboko chenu. Wewe na Melissaaa mnamuogopa kisa yeye huleta facts na kuwakera balaa
Yani unatafita msaada...Mnabahati kwa sasa niko busy kidogo, lasivyo humu kungechimbika....
 
Unaruka ruka kama kangaroo! Rudi kwenye mada, kwanini baada ya kupata Uhuru mmejenga barabara chache sana kwa kiwango cha lami?

Mkifikisha kilomita 10,000km za paved road ndio utakua na jeuri ya kuhoji, japo bado mtakua nyuma yetu tena mbali sana.
 
Nakuona unalia sana...Nimewka facts mezani lakini nyinyi mnatoa mnachofikili..Mwenzako anataka ni deal na barabara za Tanroad pekee wakati hapo nimejumuisha na Tarura, Halmashauri na Wilaya..[emoji23][emoji23][emoji23]Mlikuwa hamjui hata maana ya paved roads[emoji23][emoji23][emoji23]🀣

Haya majamaa ni mapunguani. Waambie nn maana ya hizi agecies na wakishaelewa mwakani na wao wataunda KARURA nafikiri unabishana na Socialogists tu hapa
 
Walipeni walimu wenu mishahara ipasavyo, la sivyo huu ndio utaendelea kua mwendo, kujianika balaa, nafuu huwa mnatumia Kiswahili, hivyo aibu yenu inabaki humu humu, otherwise mngekua mnachekwa sana nyie.
Kutojua kutumia lugha fulani kwa ufasaha na yenyewe ni aibu!!!???
 
Back
Top Bottom