Kenya has less Paved Roads compared to Tanzania. (Kenya 44,100 km while Tanzania 85,000km)

Wapashe wapashe....10,000km paved road ni ujenzi unaoendelea....😂😂😂😂😂 Sasa ngoja tuone hali alisi ya Paved roads za Kenya😂😂😂👇👇👇👇
 
Sasa isiwezekane kwa nini??..mbona nyie mmeweza kuwashinda Denmark kwa slums!
 
Hadi sasa hakuna mkenya alieleta facts,wao wanabwabwaja tu,bongo kuna paved roads ndefu sana nowadays..
Kwa nini tusianze kuleta moja moja..
Moja wanaleta nyani,moja tunaleta sisi
 
Kwani waingereza wao huwa hawaongei ujinga hadi wanyama awe na wasiwasi?..kumbe nyie majamaa ni ma-bogus eeehh
 
Oya bongo kuna kms nyingi sana till now hiyo 12k kms tulishapita kitambo,safiri acha kubishana tu hapa..
 
Sasa huo ni mwaka gani?..na ni takwimu za agency IPI? Kumbuka road huku bongo hazijengwi na tanroads pekee
 
Oya bongo kuna kms nyingi sana till now hiyo 12k kms tulishapita kitambo,safiri acha kubishana tu hapa..
Kama unayosema ni kweli basi mbona nyinyi LDC. Kama mna km 85,000 ya lami lazima mngekuwa upper middle income kama Botswana, Sychelles au Mauritius.
 
Vigezo vyako ni uongo mtupu
 
Mmmh, hii mada inaonekana ni mwiba pori kwa jirani🙂
 
When Magufuli was campaigning he said that under his leadership as the roads minister, Tanzania had managed to pave ten thousand kilometers. Tanzanians bought the lie, anything about statistics mie sibishani na wabongo; its a zero sum game
 
Ahaaa haaa haaa
si ulete za kwako? AMBAZO ni za kweli?
 
Kwa hili la barabara sote tunajua Tanzagiza hamna kitu. Kwani what happened to SGR tanzagiza ama vyuma vilikaza pamoja na mkopo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…