Kenya has less Paved Roads compared to Tanzania. (Kenya 44,100 km while Tanzania 85,000km)

Kenya has less Paved Roads compared to Tanzania. (Kenya 44,100 km while Tanzania 85,000km)

TANROADS hawawezi kuongelea barabara za Halmashauri bana, tokea lini wakafanya hivyo? Hizo barabara za Halmashauri hazikujengwa wala haziwi maintened na Tanroads sasa ni vipi wataziongelea?

Labda TARURA ambayo inahusika na barabara za mijini na vijijini lakini sio TANROADS

Saivi jumla ya barabara zinazojengwa ni nyingi zaidi this HTML class. Value is Twitter. Ce qu'il se passe.

Wapashe wapashe....10,000km paved road ni ujenzi unaoendelea....😂😂😂😂😂 Sasa ngoja tuone hali alisi ya Paved roads za Kenya😂😂😂👇👇👇👇
2018-12-09_15.33.53.jpg
2018-12-09_15.31.55.jpg
2018-12-09_15.31.24.jpg
2018-12-09_15.30.37.jpg
2018-12-09_15.29.53.jpg
 
Nimekupa ramani ya barabara zote za Tanzania, hiyo ramani hapo haionyeshi tu barabara zilizo chini ya TANROAD.
Unayo matatizo makubwa kielimu, yaani unataka kumaanisha mumewashinda hata Nigeria kwa paved road, unajua maana ya paved road kweli au unahangaika.
Hehehe eti yaani mumeshinda hadi Morocco, nchi ambayo huwapa nyie misaada.....
Mumeshinda hata Denmark.... Yaani kama kuna Watanzania waliobahatika kwenda shule na wanasoma huu uzi lazima wanahisi aibu ya mwaka.
Sasa isiwezekane kwa nini??..mbona nyie mmeweza kuwashinda Denmark kwa slums!
 
Hadi sasa hakuna mkenya alieleta facts,wao wanabwabwaja tu,bongo kuna paved roads ndefu sana nowadays..
Kwa nini tusianze kuleta moja moja..
Moja wanaleta nyani,moja tunaleta sisi
 
Wanyama akiongea upupu kitaani Nairobi kwa lugha ya Kiswahili anakua hana wasiwasi maana inaishia humu humu, yaani anaweza hata kutaniana na madogo na kuitana maneno ya kise.nge, lakini akiwa kwenye jukwa la kimataifa na kutumia lugha ya kingereza inayofahamika na wengi kimataifa, inabidi awe makini kila kinachomtoka mdomoni lazima ashirikishe ubongo.
Ndivyo ilivyo humu, mnatiririka chochote maana mnajua inaishia kusomwa na kueleweka na watu wachache wa ukanda huu, hivyo hata ukiandika upupu unaodhihirisha ulivyo zwazwa utaishia kuchekwa na wachache tu.
Kwani waingereza wao huwa hawaongei ujinga hadi wanyama awe na wasiwasi?..kumbe nyie majamaa ni ma-bogus eeehh
 
Acha kua kama kenge ww, leta taarifa za paved road sio mtandao wa barabara Za vumbi hapa,izo 86thou ndio classified road but mada mezani ni zilizosurfaced pekee !!zikizidi sana ni 12thou muda mwingine sio unakuja kutukana watu hapa bila sababu za msingi
Oya bongo kuna kms nyingi sana till now hiyo 12k kms tulishapita kitambo,safiri acha kubishana tu hapa..
 
Road Network Length and classification - Tanzania Mainland
The classified road network financed by the Roads Fund is about 87,581 km where only 8.7 percent equivalent to 7,611 Km is paved and 91.3 percent are unpaved and therefore susceptible to heavy rain.
The attachment shows breakdown of the entire road network and the state of pavement.
Financial Year:
2013/2014
Road Network Length and classification - Tanzania Mainland | roadsfund


https://roadsfund.go.tz/sites/default/files/RoadNetworks/Road Network in Tanzania Mainland_0.doc
Sasa huo ni mwaka gani?..na ni takwimu za agency IPI? Kumbuka road huku bongo hazijengwi na tanroads pekee
 
Oya bongo kuna kms nyingi sana till now hiyo 12k kms tulishapita kitambo,safiri acha kubishana tu hapa..
Kama unayosema ni kweli basi mbona nyinyi LDC. Kama mna km 85,000 ya lami lazima mngekuwa upper middle income kama Botswana, Sychelles au Mauritius.
 
Halafu ujue siku hizi @mod wanawapiga watu ban kwa kuleta taarifa za uwongo, chukua muda wako kuelewa taarifa kabla ya kupata mihemko ya kuzileta huku. Ingia kwenye official source ya Tanzania Tanroad na wengine, soma kwanza halafu uje http://tanroads.go.tz/uploads/files/Trunk_and_Regional_Road_Map.pdf
Road Network Length and classification - Tanzania Mainland | roadsfund

Kwanza kabisa tafuta mtu akutafsirie nini maana ya 'paved road'
- Kenya imeizidi Tanzania kwa road network
- Kenya imeizidi Tanzania kwa classified road
- Kenya imeizidi Tanzania kwa paved road

Kenya imeizidi Tanzania kwa kila kitu, kielimu, kiuchumi yaani kila kitu.
Vigezo vyako ni uongo mtupu
 
Mmmh, hii mada inaonekana ni mwiba pori kwa jirani🙂
 
When Magufuli was campaigning he said that under his leadership as the roads minister, Tanzania had managed to pave ten thousand kilometers. Tanzanians bought the lie, anything about statistics mie sibishani na wabongo; its a zero sum game
 
When Magufuli was campaigning he said that under his leadership as the roads minister, Tanzania had managed to pave ten thousand kilometers. Tanzanians bought the lie, anything about statistics mie sibishani na wabongo; its a zero sum game

Ahaaa haaa haaa
si ulete za kwako? AMBAZO ni za kweli?
 
Kwa hili la barabara sote tunajua Tanzagiza hamna kitu. Kwani what happened to SGR tanzagiza ama vyuma vilikaza pamoja na mkopo?
 
Back
Top Bottom