85k ya vumbi...mjinga peleka ujinga yako huko usituleteeNakuona unavyo jipa Moyo..Tupo 85K...km. wewe lia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
85k ya vumbi...mjinga peleka ujinga yako huko usituleteeNakuona unavyo jipa Moyo..Tupo 85K...km. wewe lia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vibarabara gani hivyo hata 10k havifikiKwenye barabara hamutuwezi na unajua hivyo. Unajitia hamnazo tu. Barabara za Kenya ni sawa na za ulaya
TANROADS hawawezi kuongelea barabara za Halmashauri bana, tokea lini wakafanya hivyo? Hizo barabara za Halmashauri hazikujengwa wala haziwi maintened na Tanroads sasa ni vipi wataziongelea?
Labda TARURA ambayo inahusika na barabara za mijini na vijijini lakini sio TANROADS
Saivi jumla ya barabara zinazojengwa ni nyingi zaidi this HTML class. Value is Twitter. Ce qu'il se passe.
😂😂😂 Hawa jamaa kumbe vimeo tu kweli hii Forum imenipa Kenya tofauti na niliyokua nayo kichwaniWapashe wapashe....10,000km paved road ni ujenzi unaoendelea....😂😂😂😂😂 Sasa ngoja tuone hali alisi ya Paved roads za Kenya😂😂😂👇👇👇👇View attachment 961682View attachment 961683View attachment 961687View attachment 961689View attachment 961695
Under construction mwambie ni 10, 000km uki jumlisha na 85,000 km lazima wapumulie mashine😂😂😂👇👇👇Vibarabara gani hivyo hata 10k havifiki
Joan wewe uko na biashara gani?? Ludi Insta tuongee..😂😂Very true Melissa. Msifanye biashara nao maana nyie ni wavivu sana halafu hamjui biashara ndio maana weng
Ooooh!! Jaribu utaniambia...!!😂😂😂 Watu hatari sana hao
Lol..Uhuru road darislumWapashe wapashe....10,000km paved road ni ujenzi unaoendelea....😂😂😂😂😂 Sasa ngoja tuone hali alisi ya Paved roads za Kenya😂😂😂👇👇👇👇View attachment 961682View attachment 961683View attachment 961687View attachment 961689View attachment 961695
Sasa isiwezekane kwa nini??..mbona nyie mmeweza kuwashinda Denmark kwa slums!Nimekupa ramani ya barabara zote za Tanzania, hiyo ramani hapo haionyeshi tu barabara zilizo chini ya TANROAD.
Unayo matatizo makubwa kielimu, yaani unataka kumaanisha mumewashinda hata Nigeria kwa paved road, unajua maana ya paved road kweli au unahangaika.
Hehehe eti yaani mumeshinda hadi Morocco, nchi ambayo huwapa nyie misaada.....
Mumeshinda hata Denmark.... Yaani kama kuna Watanzania waliobahatika kwenda shule na wanasoma huu uzi lazima wanahisi aibu ya mwaka.
Kwani waingereza wao huwa hawaongei ujinga hadi wanyama awe na wasiwasi?..kumbe nyie majamaa ni ma-bogus eeehhWanyama akiongea upupu kitaani Nairobi kwa lugha ya Kiswahili anakua hana wasiwasi maana inaishia humu humu, yaani anaweza hata kutaniana na madogo na kuitana maneno ya kise.nge, lakini akiwa kwenye jukwa la kimataifa na kutumia lugha ya kingereza inayofahamika na wengi kimataifa, inabidi awe makini kila kinachomtoka mdomoni lazima ashirikishe ubongo.
Ndivyo ilivyo humu, mnatiririka chochote maana mnajua inaishia kusomwa na kueleweka na watu wachache wa ukanda huu, hivyo hata ukiandika upupu unaodhihirisha ulivyo zwazwa utaishia kuchekwa na wachache tu.
Oya bongo kuna kms nyingi sana till now hiyo 12k kms tulishapita kitambo,safiri acha kubishana tu hapa..Acha kua kama kenge ww, leta taarifa za paved road sio mtandao wa barabara Za vumbi hapa,izo 86thou ndio classified road but mada mezani ni zilizosurfaced pekee !!zikizidi sana ni 12thou muda mwingine sio unakuja kutukana watu hapa bila sababu za msingi
Sasa huo ni mwaka gani?..na ni takwimu za agency IPI? Kumbuka road huku bongo hazijengwi na tanroads pekeeRoad Network Length and classification - Tanzania Mainland
The classified road network financed by the Roads Fund is about 87,581 km where only 8.7 percent equivalent to 7,611 Km is paved and 91.3 percent are unpaved and therefore susceptible to heavy rain.
The attachment shows breakdown of the entire road network and the state of pavement.
Financial Year:
2013/2014
Road Network Length and classification - Tanzania Mainland | roadsfund
https://roadsfund.go.tz/sites/default/files/RoadNetworks/Road Network in Tanzania Mainland_0.doc
Kama unayosema ni kweli basi mbona nyinyi LDC. Kama mna km 85,000 ya lami lazima mngekuwa upper middle income kama Botswana, Sychelles au Mauritius.Oya bongo kuna kms nyingi sana till now hiyo 12k kms tulishapita kitambo,safiri acha kubishana tu hapa..
Vigezo vyako ni uongo mtupuHalafu ujue siku hizi @mod wanawapiga watu ban kwa kuleta taarifa za uwongo, chukua muda wako kuelewa taarifa kabla ya kupata mihemko ya kuzileta huku. Ingia kwenye official source ya Tanzania Tanroad na wengine, soma kwanza halafu uje http://tanroads.go.tz/uploads/files/Trunk_and_Regional_Road_Map.pdf
Road Network Length and classification - Tanzania Mainland | roadsfund
Kwanza kabisa tafuta mtu akutafsirie nini maana ya 'paved road'
- Kenya imeizidi Tanzania kwa road network
- Kenya imeizidi Tanzania kwa classified road
- Kenya imeizidi Tanzania kwa paved road
Kenya imeizidi Tanzania kwa kila kitu, kielimu, kiuchumi yaani kila kitu.
When Magufuli was campaigning he said that under his leadership as the roads minister, Tanzania had managed to pave ten thousand kilometers. Tanzanians bought the lie, anything about statistics mie sibishani na wabongo; its a zero sum game
Hahamambo gani hayo, sisi wengine tunakula bana?