Kenya has more dollar millionaires than Rwanda, Uganda and Tanzania combined

your right...you do have a dollar billionaire in the midst of maskini hohehahes and walalahois hehe...whats the use? atleast in Kenya it is spread to 9400 people
It is spread to 9400 out of 40 mil kenyans?are you serious nyangau from westland. You have talk about number of millionaires now we talk about billionaires dollars in tanzania more than combine kenya,uganda and rwanda.
 
Hivi nyie wakenya mmekosa mjadala, kazi kutuchokoza tu, kwani tukianza kuongea hapa mtatuweza sasa..
 

Yawezekana baba yako alifuja mali za umma ndio ukaenda kusoma hizo english schools, na ulivyokua kubwa J baada ya kuendelea kukomenti kwa kiingereza, umeanza kujibu kwa kiswahili...au umesahau topic imeandikwa kwa kiingereza?
 
wachana na hawa wanakuponda kwa sababu unajua kuzungumza kiingereza kizuri....sisi tunakukaribisha Kenya..
Hahahahaha Jay Ahsante kwa ofa,unajua sisi watz ni vichwa ngumu sana, ndio maana tuko nyuma sana kimaendeleo, kiuchumi, kielemu, infrastructure, and every aspect, yaani kenya wanetuacha nyuma sana,kinachonishangaza sasa we're still in denial, na instead of kushindana na nyie competitively tuko busy to envy u.nikupe mfano kidogo tu,unajua mpaka pipi, biscuti, tunashindwa kutengeneza tunaagiza Kenya? Ignorance is bliss
 
haha
 
It is spread to 9400 out of 40 mil kenyans?are you serious nyangau from westland. You have talk about number of millionaires now we talk about billionaires dollars in tanzania more than combine kenya,uganda and rwanda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] billionare wangapi ..ama ni billionares in tanzanian shillings[emoji23][emoji23]leta list ya ur billionares
 
Halafu mabilionaire hawana mda na jamii forum. Ila sie wapambe, just imagine una biashara na regime imebadilika imekuja na policy zinazofanya biashara yako iwe shakani-haaa huwezi kuwepo huku. Na wengi hawana impach kwenye policy za nchi zao tuwasaka tonge tu. Rollcoatser-lazima ujue historia yako na jinsi gani ilikutengeneza kuwa ulivyo huna haja ya kujikataa bali waweza kuwa mfano wa kuigwa kwa kuanza kuwa millionaire.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…