Kenya has the best of everything orally, but nothing on the ground really

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Hahahaha, kama kawaida ya wakenya kupenda kujisifia kwa kila kitu kwamba " they the best, lakini katika vitendo ni bure kabisa. Leo wanadai kuwa na vifaa bora kabisa vya uokozi, lakini ni siku ya NNE hata kuweza kujua ilipo gari hawajui. Wazee wa kupenda sifa za kijinga.
 
Najua kiingereza cha huyo jamaa kimekupiga chenga. Jamaa anasema kuwa mtambo wanayotumia imedhibitisha kwamba kuna maeneo kumi na minne ambayo yana mwinuko fulani na lazima divers wachunguze. Divers wameshachunguza sita. Imebaki nane. Tulia ngoma ichezwe.
 
You've got a funny name my friend more like dumbass but excuse my manners for intruding on your personality. Unaelewa kiingereza?
 
Kingereza ndiyo shida ama nini?
 
dah yaan kuokoa kagari tu mpaka msubiri wapiga mbizi kutoka S.A na hii n siku ya nne kmbe TZ n balaa feri iliokolewa ndani ya siku 1 tu baada ya ajari
Fery inabeba magari + watu na mizigo nyingine kwa hivyo Ni chombo kikubwa kanchoweza patikana kwa urahisi. Ni vyema kuwa makini kabla hujacomment mahala Kama hapa ukadhihirisha upungufu wako pande ya mafikra na SI eti nasema huna akili mbali comment yako inaashiria hivo.
 
"We have the best equipments for recovery", hahahaha, siku ya nne inakatiza hakuna lolote zaidi ya Maneno mingi, stupid Kunyaland
 
Acheni kelele ninyi ni wazee wa kujisifia tu wakati hamna lolote mnaweza, huku Dar katika kivuko cha Kigamboni, gari huwa zinazama Mara nyingi sana, lakini tunaziopoa ndani ya siku moja.

Ninyi ni kawaida yenu kutoa " Excuses" mnaposhindwa, Alshabaab wamewashinda, mnasema sio rahisi kupigana na magaidi, Njaa imeeashinda mnasema kwasababu ya Jangwa, Uchumi inazidi kufanya vibaya kila mwaka, mnasema kwasababu hamna madini kama Tanzania. Hahahaha.
 
I understand your frustrations with Kenya now. You are wondering how a semi arid Nation without mineral wealth manages to have a top seat among Africa's wealthiest Nations, be the wealthiest in East and Central Africa and also a leader in it's geopolitics. Kenya is on top through its own merit thanks to it's educated population with a GDP of $99billion and you cannot do anything about. You are political,economic and academic dwarfs in this part of Africa leave alone the whole of African Continent a d the only place you can be heard from is JF, and the only mark you joto la mawe has ever made in your life was on your underwear.
 
Huyo basi ferry ywapajua...wanapiga midomo tu, pale mahali ni pabaya sana na pako busy 24/7
 
Lkn ile yenu ya lait tlak ndio imevunja rekodi ukiongezea ba ya mabeberu...hamna excuse za kijinga km hzo...oooo sorry, nimesahau ya uzalendo..mtu akisema ukwel si mzalendo
 
Wewe ni vyema unyamaze tu kwani nyie ndio mpo vibaya zaidi. Mlipoteza watu zaidi ya mia mbili kwenye ajali hili la ferry juzi tu. Mola awalaze pahali pema peponi. Wahenga walisema kuwa usiwe unacheka kundule la mwenzako huku kundule lako ndilo nyekundu zaidi. Nyani haoni kundule. Mbona sisi hatukuwaita failed state?
 
hawa jamaa hunishangaza venye hupenda kushabikia majanga yakitokea Kenya ilhali hutapata Wakenya wakifurahia wakati majanga ya na wapata watanzania.
 
bado mnaonesha udhaifu wa hali ya juu yaan mpaka waje ma diver wa SA ufara gan huo
 
bado mnaonesha udhaifu wa hali ya juu yaan mpaka waje ma diver wa SA ufara gan huo
Sisi hatufuchi udhaifu wetu, Kama sio our free media hamgejua Haya. On the other hand we do not know what is happening in Tanzania until international media or other sources do so kwa mfano hili la Ebola tumelojua through US and UK.
 
Sisi hatufuchi udhaifu wetu, Kama sio our free media hamgejua Haya. On the other hand we do not know what is happening in Tanzania until international media or other sources do so kwa mfano hili la Ebola tumelojua through US and UK.
Over a month of rumours and still no single patient admitted, lol do you really know what is Ebola?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…