joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hahahaha, kama kawaida ya wakenya kupenda kujisifia kwa kila kitu kwamba " they the best, lakini katika vitendo ni bure kabisa. Leo wanadai kuwa na vifaa bora kabisa vya uokozi, lakini ni siku ya NNE hata kuweza kujua ilipo gari hawajui. Wazee wa kupenda sifa za kijinga.