Naxvegas254
JF-Expert Member
- Mar 29, 2019
- 542
- 316
Kindly educate meOver a month of rumours and still no single patient admitted, lol do you really know what is Ebola?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kindly educate meOver a month of rumours and still no single patient admitted, lol do you really know what is Ebola?
Go GoogleKindly educate me
How deep is Kigamboni? Is it the busiest shipping path in east africa? How deep is it safe for a man to dive? Una ujuzi wa kuzama bahari au ni ujuzi kutype kwenye social media tuu?Acheni kelele ninyi ni wazee wa kujisifia tu wakati hamna lolote mnaweza, huku Dar katika kivuko cha Kigamboni, gari huwa zinazama Mara nyingi sana, lakini tunaziopoa ndani ya siku moja.
Ninyi ni kawaida yenu kutoa " Excuses" mnaposhindwa, Alshabaab wamewashinda, mnasema sio rahisi kupigana na magaidi, Njaa imeeashinda mnasema kwasababu ya Jangwa, Uchumi inazidi kufanya vibaya kila mwaka, mnasema kwasababu hamna madini kama Tanzania. Hahahaha.
Kigamboni is 85M deep, is the busiest pathway than Likoni because it saves not only as a gate way for ships and ferries like Likoni, but it also saves thousands of small and big fishing boats, because there is biggest and modern fishing market in East, Southern and Central Africa.How deep is Kigamboni? Is it the busiest shipping path in east africa? How deep is it safe for a man to dive? Una ujuzi wa kuzama bahari au ni ujuzi kutype kwenye social media tuu?
Bro jisikitikie.I understand your frustrations with Kenya now. You are wondering how a semi arid Nation without mineral wealth manages to have a top seat among Africa's wealthiest Nations, be the wealthiest in East and Central Africa and also a leader in it's geopolitics. Kenya is on top through its own merit thanks to it's educated population with a GDP of $99billion and you cannot do anything about. You are political,economic and academic dwarfs in this part of Africa leave alone the whole of African Continent a d the only place you can be heard from is JF, and the only mark you joto la mawe has ever made in your life was on your underwear.
Najua kiingereza cha huyo jamaa kimekupiga chenga. Jamaa anasema kuwa mtambo wanayotumia imedhibitisha kwamba kuna maeneo kumi na minne ambayo yana mwinuko fulani na lazima divers wachunguze. Divers wameshachunguza sita. Imebaki nane. Tulia ngoma ichezwe.
Mkuu hicho ni kiingereza kingi tuu ila sio utaalam. Teknolojia ambayo ilitumiwa kwenye ndege ilibidi iongezwe na ile ya miale ya sauti kwa kifaa cha “echo sounder”. Hauwezi kutafuta kitu ndani ya maji ya bahari au hata ziwa kwa mwanga wa kawaida. Mimi nilitegemea kusikia japo wanatumia techologia ya “lidar” ambayo ni uhakika wa kipimo kwa 3sentimita.Najua kiingereza cha huyo jamaa kimekupiga chenga. Jamaa anasema kuwa mtambo wanayotumia imedhibitisha kwamba kuna maeneo kumi na minne ambayo yana mwinuko fulani na lazima divers wachunguze. Divers wameshachunguza sita. Imebaki nane. Tulia ngoma ichezwe.
Sawa mtaalamu wa kibongo.Mkuu hicho ni kiingereza kingi tuu ila sio utaalam. Teknolojia ambayo ilitumiwa kwenye ndege ilibidi iongezwe na ile ya miale ya sauti kwa kifaa cha “echo sounder”. Hauwezi kutafuta kitu ndani ya maji ya bahari au hata ziwa kwa mwanga wa kawaida. Mimi nilitegemea kusikia japo wanatumia techologia ya “lidar” ambayo ni uhakika wa kipimo kwa 3sentimita.
You can imagine if that is the case in Kenya, what about a country whose assets are siezed at will by individuals?$99bln gdp hamna kikosi cha uokoaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na unashangaa sisi kuwashangaa nyinyi[emoji38][emoji38][emoji38]Bro jisikitikie.
Miili ya wapendwa wasio na hatia inaliwa na samaki chini huko,kisa wajinga fulani wanaokula kodi za serikali na kujisifu kuongea kiingereza.You can imagine if that is the case in Kenya, what about a country whose assets are siezed at will by individuals?
Nimeumia sana mkuu, kumbe walielewa dakika 20 wanaomba msaada watu wanawapiga picha tu,,, azam boats wangeshawaokoa within 5'minutes,,, wakenya mmeniangusha mnooo, you are too weak kwa hili tukioMiili ya wapendwa wasio na hatia inaliwa na samaki chini huko,kisa wajinga fulani wanaokula kodi za serikali na kujisifu kuongea kiingereza.
Those are real kenyans we mock everyday in this forum.Nimeumia sana mkuu, kumbe walielewa dakika 20 wanaomba msaada watu wanawapiga picha tu,,, azam boats wangeshawaokoa within 5'minutes,,, wakenya mmeniangusha mnooo, you are too weak kwa hili tukio
Vipi nyie MV Nyerere ilipozama kule Mwanza. Mpaka mkasitisha uokoaji kisa hamna umeme? What a shame!!Nimeumia sana mkuu, kumbe walielewa dakika 20 wanaomba msaada watu wanawapiga picha tu,,, azam boats wangeshawaokoa within 5'minutes,,, wakenya mmeniangusha mnooo, you are too weak kwa hili tukio
Brother, don't argue with small-minded people.I understand your frustrations with Kenya now. You are wondering how a semi arid Nation without mineral wealth manages to have a top seat among Africa's wealthiest Nations, be the wealthiest in East and Central Africa and also a leader in it's geopolitics. Kenya is on top through its own merit thanks to it's educated population with a GDP of $99billion and you cannot do anything about. You are political,economic and academic dwarfs in this part of Africa leave alone the whole of African Continent a d the only place you can be heard from is JF, and the only mark you joto la mawe has ever made in your life was on your underwear.