Kenya has the best of everything orally, but nothing on the ground really

How deep is Kigamboni? Is it the busiest shipping path in east africa? How deep is it safe for a man to dive? Una ujuzi wa kuzama bahari au ni ujuzi kutype kwenye social media tuu?
 
How deep is Kigamboni? Is it the busiest shipping path in east africa? How deep is it safe for a man to dive? Una ujuzi wa kuzama bahari au ni ujuzi kutype kwenye social media tuu?
Kigamboni is 85M deep, is the busiest pathway than Likoni because it saves not only as a gate way for ships and ferries like Likoni, but it also saves thousands of small and big fishing boats, because there is biggest and modern fishing market in East, Southern and Central Africa.
 
$99bln gdp hamna kikosi cha uokoaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na unashangaa sisi kuwashangaa nyinyi[emoji38][emoji38][emoji38] Bro jisikitikie.
 
Siku ya nne leo mnacheza ngoma[emoji38][emoji38][emoji38].haya chezeni bana.
 
Mkuu hicho ni kiingereza kingi tuu ila sio utaalam. Teknolojia ambayo ilitumiwa kwenye ndege ilibidi iongezwe na ile ya miale ya sauti kwa kifaa cha “echo sounder”. Hauwezi kutafuta kitu ndani ya maji ya bahari au hata ziwa kwa mwanga wa kawaida. Mimi nilitegemea kusikia japo wanatumia techologia ya “lidar” ambayo ni uhakika wa kipimo kwa 3sentimita.
 
Sawa mtaalamu wa kibongo.
 
$99bln gdp hamna kikosi cha uokoaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na unashangaa sisi kuwashangaa nyinyi[emoji38][emoji38][emoji38]Bro jisikitikie.
You can imagine if that is the case in Kenya, what about a country whose assets are siezed at will by individuals?
 
You can imagine if that is the case in Kenya, what about a country whose assets are siezed at will by individuals?
Miili ya wapendwa wasio na hatia inaliwa na samaki chini huko,kisa wajinga fulani wanaokula kodi za serikali na kujisifu kuongea kiingereza.
 
Miili ya wapendwa wasio na hatia inaliwa na samaki chini huko,kisa wajinga fulani wanaokula kodi za serikali na kujisifu kuongea kiingereza.
Nimeumia sana mkuu, kumbe walielewa dakika 20 wanaomba msaada watu wanawapiga picha tu,,, azam boats wangeshawaokoa within 5'minutes,,, wakenya mmeniangusha mnooo, you are too weak kwa hili tukio
 
Nimeumia sana mkuu, kumbe walielewa dakika 20 wanaomba msaada watu wanawapiga picha tu,,, azam boats wangeshawaokoa within 5'minutes,,, wakenya mmeniangusha mnooo, you are too weak kwa hili tukio
Those are real kenyans we mock everyday in this forum.

Ni watu fulani wana kaupuuzi unique.imagine mhusikawa uokoaji anakwambia sizami chini mpaka nisainishwe mkataba[emoji23][emoji23]
 
Nimeumia sana mkuu, kumbe walielewa dakika 20 wanaomba msaada watu wanawapiga picha tu,,, azam boats wangeshawaokoa within 5'minutes,,, wakenya mmeniangusha mnooo, you are too weak kwa hili tukio
Vipi nyie MV Nyerere ilipozama kule Mwanza. Mpaka mkasitisha uokoaji kisa hamna umeme? What a shame!!
 
Brother, don't argue with small-minded people.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…