Subiri Uganda kitanuka soon! Hata hapo Kenya bado kidogo tu kitanuka tuIn a serious note [emoji1000] huwaga siyo shabiki wa politics au upande flani wa kisiasa lakini kwenye hili La kukataa kupiga lockdown naiunga mkono the government.
Jana tu Kenya [emoji1139] two women starved to death while waiting for government sponsored food.
Forceful lockdown ni government killing its own citizen.
I think you are taking JPM words literally.
Mara moja moja huwa akili yako inakukaa vizuri...utafutwe utaratibu wa kuwapelekea chakula huko kwao.
..utaratibu wa Wakenya kwenda mpaka mashambani / mikoani na kununua nafaka haufai kipindi hiki kuna hatari ya Covid19.
..tuchukue tahadhari. tunaweza kuwafungulia mpaka halafu wakaenda kuambukiza waTz wa vijijini.
..kukitokea maambukizi vijijini maana yake ni kuwa Watanzania tutakosa chakula, na Wakenya watakosa chakula.
..Tutafute namna SALAMA ya kupeleka chakula Kenya, pamoja na bidhaa muhimu na transit goods ktk mataifa yanayotuzunguka.
Starved to death ama they were victims of a stampede fighting for that food?.In a serious note 🗒 huwaga siyo shabiki wa politics au upande flani wa kisiasa lakini kwenye hili La kukataa kupiga lockdown naiunga mkono the government.
Jana tu Kenya 🇰🇪 two women starved to death while waiting for government sponsored food.
Forceful lockdown ni government killing its own citizen.
Wewe na mapengo yako hujui kuwa mahindi yote ya handeni yalikuwa yanaenda Kenya?Hawa jamaa wamejaa viburi kumbe sisi ndio tunawalisha.
huna haja ya kuwachukia, wa kenya mbona watu poa tu...naendaga sana Nairobi!Nnawachukia sana hawa majiranizetu..wanajifanya wajuaji kumbe hakuna kitu kichwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakuja vipi wakati wamefunga mipaka?..lakini tukiacha mipaka wazi wanaweza kuja kutuambukiza.
..na wakituambukiza na hasara kwetu na kwao.
..kama majirani wanatutegemea, basi waTz tuna wajibu wa kuchukua tahadhari zaidi.
Sio wakati huu wa coronavirus tu...utafutwe utaratibu wa kuwapelekea chakula huko kwao.
..utaratibu wa Wakenya kwenda mpaka mashambani / mikoani na kununua nafaka haufai kipindi hiki kuna hatari ya Covid19.
..tuchukue tahadhari. tunaweza kuwafungulia mpaka halafu wakaenda kuambukiza waTz wa vijijini.
..kukitokea maambukizi vijijini maana yake ni kuwa Watanzania tutakosa chakula, na Wakenya watakosa chakula.
..Tutafute namna SALAMA ya kupeleka chakula Kenya, pamoja na bidhaa muhimu na transit goods ktk mataifa yanayotuzunguka.
Wanakuja vipi wakati wamefunga mipaka?
Senti bai yuzingi tecno T301
Eeeenh, ushabiki bhwaanah...;Na bado mlimuona JPM hana akili aliposema kuna nchi 8 zinatutegemea.
Imagine hapo hatujafunga mipaka jirani zetu wameanza kukipata cha moto. Je tukifunga si watakufa waishe kabisa?
God save us
Mstari huo ndio unaonikera zaidi siku zote mimi.Kenya imports majority of its cereals from Tanzania, the country makes Sh27 billion annually in cross-border trade, while Tanzania bags Sh11 billion in trade but the figures are expected to drop as the coronavirus pandemic continues to bite.
Nimeona kwenye news,mkuu wa mkoa wa kilimanjaro akiwaagiza wakuu wa vyombo vya usalama mkoani humo kuongeza ulinzi,kwani pamoja na kufunga mipaka inayoeleweka bado kuna zile njia zisizo rasmi(chocho)raia wa nchi jirani wanatumia kuingia TZWamefunga mipaka watakuja vipi?
Usimchukie jirani yako anapo jihami...Tuwakaribishe wakipiga hodi kwani nasi hatujijui kesho yetu..Nnawachukia sana hawa majiranizetu..wanajifanya wajuaji kumbe hakuna kitu kichwani
Sent using Jamii Forums mobile app
LOL tatizo la wakenya uhaba wa chakula wa asili umewafanya wajue vyakula vichache tu havizidi vitatu, hapo vingi ulivyoviorodhesha hata wajawahi kuvisikia itabidi wakavigoogleWaambie waje kuchukua mihogo, ulezi, viazi vitamu, viazi mviringo, ndizi, mtama na mahindi hapa Sirari-Tarime.