Kenya Hawana Chakula - Baada ya kufunga mpaka

Kenya Hawana Chakula - Baada ya kufunga mpaka

Kenya wamewekeza kwenye kilimo cha mazao ya biashara zaid kuliko mazao ya chakula, wanauza sana mazao ya chakula nje ya nchi. Sasa hivi huko wanakouza hayauziki na wanaitaji zaidi chakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In a serious note [emoji1000] huwaga siyo shabiki wa politics au upande flani wa kisiasa lakini kwenye hili La kukataa kupiga lockdown naiunga mkono the government.

Jana tu Kenya [emoji1139] two women starved to death while waiting for government sponsored food.

Forceful lockdown ni government killing its own citizen.
Subiri Uganda kitanuka soon! Hata hapo Kenya bado kidogo tu kitanuka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

I think you are taking JPM words literally.

..washauri na wasaidizi hawatekelezi wajibu wao ipasavyo.

..Jpm amekuwa madarakani kwa miaka 4+ sasa.

..Haiwezekani atoe kauli zenye utata ktk suala zito kama hili.

..ingekuwa imetokea miezi 2 au 3 tangu aingie madarakani ingeeleweka, lakini siyo kwa Raisi aliyeko madarakani kwa miaka 4++.
 
..utafutwe utaratibu wa kuwapelekea chakula huko kwao.

..utaratibu wa Wakenya kwenda mpaka mashambani / mikoani na kununua nafaka haufai kipindi hiki kuna hatari ya Covid19.

..tuchukue tahadhari. tunaweza kuwafungulia mpaka halafu wakaenda kuambukiza waTz wa vijijini.

..kukitokea maambukizi vijijini maana yake ni kuwa Watanzania tutakosa chakula, na Wakenya watakosa chakula.

..Tutafute namna SALAMA ya kupeleka chakula Kenya, pamoja na bidhaa muhimu na transit goods ktk mataifa yanayotuzunguka.
Mara moja moja huwa akili yako inakukaa vizuri.
 
In a serious note 🗒 huwaga siyo shabiki wa politics au upande flani wa kisiasa lakini kwenye hili La kukataa kupiga lockdown naiunga mkono the government.

Jana tu Kenya 🇰🇪 two women starved to death while waiting for government sponsored food.

Forceful lockdown ni government killing its own citizen.
Starved to death ama they were victims of a stampede fighting for that food?.
 
..lakini tukiacha mipaka wazi wanaweza kuja kutuambukiza.

..na wakituambukiza na hasara kwetu na kwao.

..kama majirani wanatutegemea, basi waTz tuna wajibu wa kuchukua tahadhari zaidi.
Wanakuja vipi wakati wamefunga mipaka?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
..utafutwe utaratibu wa kuwapelekea chakula huko kwao.

..utaratibu wa Wakenya kwenda mpaka mashambani / mikoani na kununua nafaka haufai kipindi hiki kuna hatari ya Covid19.

..tuchukue tahadhari. tunaweza kuwafungulia mpaka halafu wakaenda kuambukiza waTz wa vijijini.

..kukitokea maambukizi vijijini maana yake ni kuwa Watanzania tutakosa chakula, na Wakenya watakosa chakula.

..Tutafute namna SALAMA ya kupeleka chakula Kenya, pamoja na bidhaa muhimu na transit goods ktk mataifa yanayotuzunguka.
Sio wakati huu wa coronavirus tu.

Ni ujinga wa hali ya juu kabisa kwa nchi yoyote kuruhusu watu wa nchi nyingine kwenda kufanya biashara hadi vijijini bila ya kuwepo na utaratibu maalum wa kusimamia biashara hiyo.

Wananchi wanaweza kuuza chakula chote halafu wakaililia serikali iwatafutie chakula.
 
Wanakuja vipi wakati wamefunga mipaka?

Senti bai yuzingi tecno T301

..basi bwana mkubwa amesema UONGO alipodai kuwa mipaka iko wazi kwasababu majirani wanatutegemea.

..majirani kama ni kweli wanatutegemea wasingeweza kufunga mipaka yao na Tanzania.
 
Na bado mlimuona JPM hana akili aliposema kuna nchi 8 zinatutegemea.

Imagine hapo hatujafunga mipaka jirani zetu wameanza kukipata cha moto. Je tukifunga si watakufa waishe kabisa?

God save us
Eeeenh, ushabiki bhwaanah...;

Na huu mstari hapo chini uliusoma ukauelewa vizuri au vipi? Ninaweza kukusaidia tafsiri kama lugha ni tatizo.
Kenya imports majority of its cereals from Tanzania, the country makes Sh27 billion annually in cross-border trade, while Tanzania bags Sh11 billion in trade but the figures are expected to drop as the coronavirus pandemic continues to bite.
Mstari huo ndio unaonikera zaidi siku zote mimi.

Hizo nafaka angalau tungeongeza thamani na kuwauzia, pengine ingepunguza hayo maumivu tunayopata toka kwao; lakini akili zetu zinajua kutoa shambani na kusafirisha. Siku moja watatuuzia unga wa mahindi tunayowauzia sisi.

Uchumi walipokuwa hapa walishaanza kazi hiyo.
 
Wamefunga mipaka watakuja vipi?
Nimeona kwenye news,mkuu wa mkoa wa kilimanjaro akiwaagiza wakuu wa vyombo vya usalama mkoani humo kuongeza ulinzi,kwani pamoja na kufunga mipaka inayoeleweka bado kuna zile njia zisizo rasmi(chocho)raia wa nchi jirani wanatumia kuingia TZ
 
Waambie waje kuchukua mihogo, ulezi, viazi vitamu, viazi mviringo, ndizi, mtama na mahindi hapa Sirari-Tarime.
LOL tatizo la wakenya uhaba wa chakula wa asili umewafanya wajue vyakula vichache tu havizidi vitatu, hapo vingi ulivyoviorodhesha hata wajawahi kuvisikia itabidi wakavigoogle

Tanzania ndio nchi Africa yenye profile kubwa ya variation ya vyakula.
 
Back
Top Bottom