mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
We jamaa lazima utakua kigogo serikalini au ulishashika nafasi nyeti serikalini..kwa hiyo bwana mkubwa amedanganya kwamba majirani wanatutegemea.
..kama wanatutegemea kwanini wamefunga mipaka yao?
Mazao yapi ya chakula Kenya inauza nje ya nchi?Kenya wamewekeza kwenye kilimo cha mazao ya biashara zaid kuliko mazao ya chakula, wanauza sana mazao ya chakula nje ya nchi. Sasa hivi huko wanakouza hayauziki na wanaitaji zaidi chakula.
Sent using Jamii Forums mobile app
..basi bwana mkubwa amesema UONGO alipodai kuwa mipaka iko wazi kwasababu majirani wanatutegemea.
..majirani kama ni kweli wanatutegemea wasingeweza kufunga mipaka yao na Tanzania.
Kwa Africa mashariki ss ndo marekani yao baada ya miaka mitano tutakuwa tunauwezo hata wa kuwekea vikwazo nchi itakayozingua
Sent from my I phone
Halafu hao wazungu wanayatumia hayo mashamba kwa kulima mauwa kwa ajili ya kuuza kwao Ulaya & US[emoji16][emoji16],kinachowaponza wakenya mashamba yanamilikiwa na wazungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hao wazungu wanayatumia hayo mashamba kwa kulima mauwa kwa ajili ya kuuza kwao Ulaya & US
Hapo ndipo capitalism inapofeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akaja kutumbuliwa na JPM.We jamaa lazima utakua kigogo serikalini au ulishashika nafasi nyeti serikalini
Hiyo "bwana mkubwa" ni code inayotumika na watu hao kumaanisha Rais.
LOL labda ni Membe basi.Akaja kutumbuliwa na JPM.
Alikuwa anampenda sana kikwete akizinguana na kagame.
Siku hizi mzee humshawishi jema lolote alofanya jpm, atapinga tu kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeenh, ushabiki bhwaanah...;
Na huu mstari hapo chini uliusoma ukauelewa vizuri au vipi? Ninaweza kukusaidia tafsiri kama lugha ni tatizo.
Mstari huo ndio unaonikera zaidi siku zote mimi.
Hizo nafaka angalau tungeongeza thamani na kuwauzia, pengine ingepunguza hayo maumivu tunayopata toka kwao; lakini akili zetu zinajua kutoa shambani na kusafirisha. Siku moja watatuuzia unga wa mahindi tunayowauzia sisi.
Uchumi walipokuwa hapa walishaanza kazi hiyo.
..washauri na wasaidizi hawatekelezi wajibu wao ipasavyo.
..Jpm amekuwa madarakani kwa miaka 4+ sasa.
..Haiwezekani atoe kauli zenye utata ktk suala zito kama hili.
..ingekuwa imetokea miezi 2 au 3 tangu aingie madarakani ingeeleweka, lakini siyo kwa Raisi aliyeko madarakani kwa miaka 4++.
Ardhi yenyewe ya maana, finyu.[emoji16][emoji16],kinachowaponza wakenya mashamba yanamilikiwa na wazungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu JokaKuu, JPM hajafunga mipaka kwa maana ile ile ya hao majirani zetu kututegemea...ila majirani wameamua kufunga yao...basi bwana mkubwa amesema UONGO alipodai kuwa mipaka iko wazi kwasababu majirani wanatutegemea.
..majirani kama ni kweli wanatutegemea wasingeweza kufunga mipaka yao na Tanzania.