Kenya Hawana Chakula - Baada ya kufunga mpaka

Kenya Hawana Chakula - Baada ya kufunga mpaka

waache waendelee na UJUAJI wao.
Taifa kubwa kama italy na marekani wana lia njaa.
WEWE WA BARA LA GIZA UTAWEZA?

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
..kwa hiyo bwana mkubwa amedanganya kwamba majirani wanatutegemea.

..kama wanatutegemea kwanini wamefunga mipaka yao?
We jamaa lazima utakua kigogo serikalini au ulishashika nafasi nyeti serikalini

Hiyo "bwana mkubwa" ni code inayotumika na watu hao kumaanisha Rais.
 
Wamefunga mipaka ya raia sio shughuli za kiraia means malor bado Yana toka na kuingia Kenya hata Rwanda
..basi bwana mkubwa amesema UONGO alipodai kuwa mipaka iko wazi kwasababu majirani wanatutegemea.

..majirani kama ni kweli wanatutegemea wasingeweza kufunga mipaka yao na Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JPM is a kind of genius! Unafanya lockdown watu wengi wanakufa kwa njaa kuliko Corona,serikali inakata pumzi mapema ya kupambana na Corona. Wananchi 60 milioni waingie wote vitani dhidi ya Corona,wakifa milioni moja inakua bahati mbaya kisha wale 59 milioni watakaosalia wataendelea kuijenga nchi

Vita dhidi ya Corona iwe ni yako na familia yako. Ukichaguliwa na muumba basi ni bahati mbaya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa lazima utakua kigogo serikalini au ulishashika nafasi nyeti serikalini

Hiyo "bwana mkubwa" ni code inayotumika na watu hao kumaanisha Rais.
Akaja kutumbuliwa na JPM.
Alikuwa anampenda sana kikwete akizinguana na kagame.
Siku hizi mzee humshawishi jema lolote alofanya jpm, atapinga tu kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeeenh, ushabiki bhwaanah...;

Na huu mstari hapo chini uliusoma ukauelewa vizuri au vipi? Ninaweza kukusaidia tafsiri kama lugha ni tatizo.

Mstari huo ndio unaonikera zaidi siku zote mimi.

Hizo nafaka angalau tungeongeza thamani na kuwauzia, pengine ingepunguza hayo maumivu tunayopata toka kwao; lakini akili zetu zinajua kutoa shambani na kusafirisha. Siku moja watatuuzia unga wa mahindi tunayowauzia sisi.

Uchumi walipokuwa hapa walishaanza kazi hiyo.

Definitely we need to add value to our products.
 
..washauri na wasaidizi hawatekelezi wajibu wao ipasavyo.

..Jpm amekuwa madarakani kwa miaka 4+ sasa.

..Haiwezekani atoe kauli zenye utata ktk suala zito kama hili.

..ingekuwa imetokea miezi 2 au 3 tangu aingie madarakani ingeeleweka, lakini siyo kwa Raisi aliyeko madarakani kwa miaka 4++.

''Mkunje samaki akiwa mbichi.''
 
Mazao yapi ya chakula Kenya inauza nje ya nchi?

Acha kichekesho

Mkuu kwa taarifa yako Super Markets za UK (Tesco) wanafanya packing ya mboga na matunda kutoka Kenya. Labelling inafanyika Kenya. (Mboga nyingine zinatoka Tanzania)
 
..basi bwana mkubwa amesema UONGO alipodai kuwa mipaka iko wazi kwasababu majirani wanatutegemea.

..majirani kama ni kweli wanatutegemea wasingeweza kufunga mipaka yao na Tanzania.
Mkuu JokaKuu, JPM hajafunga mipaka kwa maana ile ile ya hao majirani zetu kututegemea...ila majirani wameamua kufunga yao.
Juzi kati kuna jamaa wamepitisha mizigo mpaka wa Holili bila shida kabisa.
 
Back
Top Bottom