Kenya Hawana Chakula - Baada ya kufunga mpaka

Vandalism has started

KTN wanatia aibu, kwa nini wanaongea kiingereza wanapoleta hii habari then wanawahoji raia ambao wanaongea Kiswahili. Je, matangazo haya ni kwa ajili ya English speakers au Kiwahili speakers?
Kenya bado sana poleni.

Wakati wa mahojiano wanaondoa mask sasa wanajikinga namna gani na Corona? Mtangazaji should have known better, no social distancing and she does not have a mask.
 
..basi bwana mkubwa amesema UONGO alipodai kuwa mipaka iko wazi kwasababu majirani wanatutegemea.

..majirani kama ni kweli wanatutegemea wasingeweza kufunga mipaka yao na Tanzania.
Tz hatujafunga mipaka yetu ila majirani ndio waliotufungia tusiende kwa. Wao ni ruksa kuingia kwetu. Soon tutasema, Mlijifungia, mnataka nini kwetu?? Hapo ndo watalia na kusaga meno
 
Tz hatujafunga mipaka yetu ila majirani ndio waliotufungia tusiende kwa. Wao ni ruksa kuingia kwetu. Soon tutasema, Mlijifungia, mnataka nini kwetu?? Hapo ndo watalia na kusaga meno

..hawajafanya kwa nia mbaya.

..mipaka imefungwa ili majirani tusiambukizane.

..bidhaa muhimu na shehena inayotoka na kwenda bandarini inaruhusiwa mipakani.
 
..hawajafanya kwa nia mbaya.

..mipaka imefungwa ili majirani tusiambukizane.

..bidhaa muhimu na shehena inayotoka na kwenda bandarini inaruhusiwa mipakani.
Basi msiseme ati wamefunga mipaka
 
Nikupe hongera kwa msimamo wako waKijeshi zaidi๐Ÿ˜‚
 
Mimi huwa nashangaa sana pale Wakenya wanapoisifia nchi yao kuwa ina chakula cha kutosha na hawana sababu ya kuitegemea Tanzania.

Pia walisema wana ujirani mwema na Zambia, Malawi n.k. kwahiyo sio lazima tuwalishe sisi.

Wakenya acheni mbwembwe haziwasaidii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ