Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Vandalism has started
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vandalism has started
Kenya wamewekeza kwenye kilimo cha mazao ya biashara zaid kuliko mazao ya chakula, wanauza sana mazao ya chakula nje ya nchi. Sasa hivi huko wanakouza hayauziki na wanaitaji zaidi chakula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanalima sana maua na mirungi. Wanakula hayo maua na mirungi yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tz hatujafunga mipaka yetu ila majirani ndio waliotufungia tusiende kwa. Wao ni ruksa kuingia kwetu. Soon tutasema, Mlijifungia, mnataka nini kwetu?? Hapo ndo watalia na kusaga meno..basi bwana mkubwa amesema UONGO alipodai kuwa mipaka iko wazi kwasababu majirani wanatutegemea.
..majirani kama ni kweli wanatutegemea wasingeweza kufunga mipaka yao na Tanzania.
Tz hatujafunga mipaka yetu ila majirani ndio waliotufungia tusiende kwa. Wao ni ruksa kuingia kwetu. Soon tutasema, Mlijifungia, mnataka nini kwetu?? Hapo ndo watalia na kusaga meno
Basi msiseme ati wamefunga mipaka..hawajafanya kwa nia mbaya.
..mipaka imefungwa ili majirani tusiambukizane.
..bidhaa muhimu na shehena inayotoka na kwenda bandarini inaruhusiwa mipakani.
JPM is a kind of genius! Unafanya lockdown watu wengi wanakufa kwa njaa kuliko Corona,serikali inakata pumzi mapema ya kupambana na Corona. Wananchi 60 milioni waingie wote vitani dhidi ya Corona,wakifa milioni moja inakua bahati mbaya kisha wale 59 milioni watakaosalia wataendelea kuijenga nchi
Vita dhidi ya Corona iwe ni yako na familia yako. Ukichaguliwa na muumba basi ni bahati mbaya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hata wakinunua kwa hizo nchi watapita wapi 😂 😂 😂Pia walisema wana ujirani mwema na Zambia, Malawi n.k. kwahiyo sio lazima tuwalishe sisi.