Kenya Huwa wanatuzidi vipi kwenye uchumi Tanzania?

Wakenya wametuzidi akili kiafrika hapa wakenya ni next level in term of economy, sisi tunalima mkenya anakuja kubrand mazao kama ni yanatoka kenya then wakenya wanayaexport wao. Na sehem nyngne nyng wametuzidi
 
Una hoja mkuu
 
Kati ya benki 10 kubwa za Africa Mashariki, 8 zinatoka Kenya, 2 zinatoka Tanzania.

Kwa Afrika Mashariki, Mashirika na kampuni karibia zote kubwa kidunia ofisi zao ziko Kenya.

Jomo Kenyatta Airport ni mojawapo ya viwanja busy zaidi barani Africa.

Safaricom ndio kampuni kubwa zaidi la mawasiliano Africa Mashariki.

Watanzania wanaenda kusoma University of Nairobi lakini Wakenya hawaji kusoma UDSM,

Watanzania wanaenda kutibiwa Nairobi Hospital ila Wakenya hawaji kutibiwa Muhimbili.

Kenya Airways(KQ) ni shirika la nne kwa ukubwa barani Africa na namba mbili kwa ubora baada ya Ethiopian Airlines.
 
Ni kwa sababu uchumi wao umo mikononi mwa wakoloni wanaoamua ni nani awe wa kwanza na wa mwisho. SImpo. Pia, huwa watu wetu washamba wanawaruhusu wakenya kuja kuiba raslimali hasa madiini na kuyafaidi wakati sisi tunaendelea kuwa maskini. Kwa kuangalia maisha ya wakenya walio wengi, Tanzania ni tajiri kuliko Kenya hata kama inaongozwa na majizi na majinga makubwa tu yaliyogeuka chawa , kunguni, viroboto, na luba.
 
Tutajie zifike kumi tuamini maneno yako. Acha bla bla tutajie bidhaa kumi tu kutoka Kenya zinafanya vizuri
1.blueband
2. Bic(kalamu ya kuandikia)
3. Kiwi( dawa ya viatu)
4. Jamaa( sabunu pendwa na kina mama)
5. Kimbo( najua hujazaliwa)

Ngoja niwaze kidooogo nitakurudia.
 
1.blueband
2. Bic(kalamu ya kuandikia)
3. Kiwi( dawa ya viatu)
4. Jamaa( sabunu pendwa na kina mama)
5. Kimbo( najua hujazaliwa)

Ngoja niwaze kidooogo nitakurudia.
Yaani hiyo export ndo iwe sababu ya kutuzidi uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…