Kenya Huwa wanatuzidi vipi kwenye uchumi Tanzania?

Haya matimu yalishamalizaga akili za watu
Yaani ni upuuzi mtupu, sio kwa viongozi sio kwa raia, wote simba yanga.

Yaani siku hizi imekua kawaida kabisa mtu ukivaa nguo nyekundu watu wanakuhusisha moja kwa moja na mipira.

Unakuta mtu umepigilia pamba zako nyekundu, upo kwenye matembezi anatokea ndezi mmoja anaanza kukwambia mtani kwa mpira uliocheza jana, mwaka huu Huna timu kabisa.

Mtu unabaki unashangaa tu wtf
 
Mpira sio shida
Nchi za Africa Kaskazini Zina mashabiki wa mpira kuzidi Tanganyika
 
Hilo la dhamani ya pesa Sion kama Lina uhalisia sanaa cz mfano tuseme ten ya Kenya ni laki ya Tz...nguvu ya kupata hyo Ten na matumizi yake unaweza lingana tu na mtu anaepata laki ya bongo...hakuna utofaut mkubwa..ni figure tu hizo
 
Mpira sio shida
Nchi za Africa Kaskazini Zina mashabiki wa mpira kuzidi Tanganyika
Mpira ni janga la taifa mzee, ndio maana wanasiasa wako tayari kutoa pesa kwenye mipira ili kuwawin watanzania maana kundi kubwa ni mashabiki wa mpira, sie wachache tuliobaki sauti zetu zinakua hazisikiki.
 
Wazungu walibakia kwao baada ya Uhuru kutokana na sera zao, hivyo uwekezaji wa Viwanda ni mkubwa sana Kenya; na ujue Viwanda ndivyo hulipa kodi ya kueleweka. Wanakusanya kodi karibia mara mbili ya kwetu; WANAKUSANYA KODI NYINGI SANA KUTOKA KWENYE VIWANDA.

Wamewekeza vyema kwenye shule zao za umma, hadi sasa shule bora kabisa za kusoma kwao ni shule za Serikali (umma). Lakini pia mfumo wa Elimu yao unampa mtoto uwezo mkubwa wa kuelewa na KUJIELEZA MBELE ZA WATU (na sio kukariri) na hii imewafanya wapenye kirahisi kwenye soko la kimataifa la ajira kama wa Nigeria.... na hii pia huchangia kurudisha hela nyingi za kigeni Nchini kwao
 
Wazungu walibakia baada ya Uhuru kutokana na sera zao, hivyo uwekezaji wa Viwanda ni mkubwa sana Kenya; na ujue Viwanda ndivyo hulipa kodi ya kueleweka. Wanakusanya kodi karibia mara mbili ya kwetu; WANAKUSANYA KODI NYINGI SANA KUTOKA KWENYE VIWANDA.

Wamewekeza vyema kwenye shule zao za umma, hadi sasa shule bora kabisa za kusoma ni shule za Serikali (umma). Elimu yao inampa mtoto uwezo mkubwa wa kuelewa na KUJIELEZA MBELE ZA WATU na hii imewafanya wapenye kirahisi kwenye soko la kimataifa la ajira kama wa Nigeria.... na hii pia huchangia kurusha hela nyingi za kigeni nyumbani (kenya)
Sisi tunashindwa nini kutengeneza pesa kutoka kwenye kilimo, madini, utalii n.k
Mkoloni Toka aondoke ana miaka karibia 70 Sasa ni haki tuendelee kumlaumu?
 
Me sio mtaalam wa masuala ya uchumi.

Nimetembea baadhi ya maeneo Kenya kwenye harakati za kuusaka mkate maeneo kama Kisii, Migori Mombasa na Nairobi na maeneo mengine kadhaa

Lakini nmegundua Kenya Kuna taabu sana, yaani maisha ni magumu, Wakenya wananuka shida

Miundo mbinu mibovu, Tanzania Lami hadi huko Tandahimba

Kenya Kuna njaa, Wakenya wanaokula sukuma wiki
Kenya Kuna ukame, Tanzania tuna mvua na vyakula bwerere.

Mahitaji muhimu kama chakula, malazi na mavazi Wakenya vinawasumbua

Kwenye kiwanda cha burundani, tumewapiga gap sana
Juzi walikuwa wanalia Kwa Diamond

Tanzania Kwa Sasa wasanii wanafanya vyema kwenye sinema wakenya hata sijui movie zao

CAF wamewanganya uenyeji wa CHAN mwakani, wamewapa Rwanda kwakuwa Kenya hawakuwa na viwanja vyenye viwango, lakini Tanzania viwanja vipo

Harakati za biashara Tanzania ni nyingi mfano tu pale Kariakoo ila Kenya pamepoa mno

Tanzania yenye kila kitu madini, mbuga, Kilimo nk

Utashangaa ukivuka border pale Sirari au Namanga kubadilisha pesa ndo utashangaa
Tunawapa Elfu 1 ya Kenya wanakupa 25,000 ya Tanzania

Yaani pesa kidogo ya Kenya huku unapewa burungutu
Basha wao Marekani anawamwagia mpunga mrefu sana kwenye bajeti yao, so husaidia sana kuelekeza hela ya ndani kwenye miradi ya maendeleo.
 
Kwa uelewa wangu; Kenya kiiuchumi wako Juu yetu Tz kwa Sasa lakini speed ya ukuaji na ujenzi wa nchi 🇹🇿 mbeleni hawatatuweza.Kenya Uchumi unamilikiwa na matajili wachachee mf.aridhi, viwanda nk.Raia wengi ni choka mbaya kuliko maskini wa Tz.

Tatizo sisi kua nyuma limetengenezwa pindi Nyerere alipoleta Socialism ambapo private ownership of major means of production was banned 🚫 hivyo viwanda vikawa ni miliki ya serikali system hii ilikuja kufa 1990s ndipo tukarudi mfumo wa capitalism tena,wakati huo Kenya wao hawakutanga Tanga capitalism mwanzo mwishooo.

Hivyo basi Kenya wako Juu lakini ni swalaa la Mdaa tu hope mpaka 2050,Tz itakua mbele ya Kenya kivyovyote i.e Kiiuchumi,miundimbinu. Ni rahisi kutoboa maisha kwa Maskini wa Tz kuliko maskini wa Kenyaaaa.
 
We acha kudanganya watu kenya ipo mbali kiuchumi kuzidi tz ,mfano nirobi flyover kitambo tena zigzaga patamu kweli ukiacha sehemu kibao zimeendelea,movie tangu kitambo tena wameigiza mpaka na wazungu,ukitaka nakutajia tena international movie,sema kenya viongoz au wadosi wao wanawekeza nje ya nchi yao wengi sana kwa kuogopa kuhojiwa tofauti na tz
 
Sehemu yeyote yenye dhiki ndiyo Kuna biashara maana mahitaji ni makubwa sana ya vitu ndiyo maana wanaposema wana maisha magumu ni kwamba dhiki husababisha vitu viwe ghali kwahiyo wenye pesa hupeleka vitu sehemu kama hizo kupata pesa.
Kwa comment hii naweza kusema wewe ni kilaza sana na kama una watoto inabidi uuliwe pamoja na wao kuondoa vilaza nchini, bila shaka pengine hujawahi kutoka hata nje ya kijijini kwenu
 
Me sio mtaalam wa masuala ya uchumi.
Nimetembea baadhi ya maeneo Kenya kwenye harakati za kuusaka mkate maeneo kama Kisii, Migori Mombasa na Nairobi na maeneo mengine kadhaa

Lakini nmegundua Kenya Kuna taabu sana, yaani maisha ni magumu, Wakenya wananuka shida
Miundo mbinu mibovu, Tanzania Lami hadi huko Tandahimba

Kenya Kuna njaa, Wakenya wanaokula sukuma wiki
Kenya Kuna ukame, Tanzania tuna mvua na vyakula bwerere.
Mahitaji muhimu kama chakula, malazi na mavazi Wakenya vinawasumbua

Kwenye kiwanda cha burundani, tumewapiga gap sana
Juzi walikuwa wanalia Kwa Diamond

Tanzania Kwa Sasa wasanii wanafanya vyema kwenye sinema wakenya hata sijui movie zao

CAF wamewanganya uenyeji wa CHAN mwakani, wamewapa Rwanda kwakuwa Kenya hawakuwa na viwanja vyenye viwango, lakini Tanzania viwanja vipo

Harakati za biashara Tanzania ni nyingi mfano tu pale Kariakoo ila Kenya pamepoa mno

Tanzania yenye kila kitu madini, mbuga, Kilimo nk

Utashangaa ukivuka border pale Sirari au Namanga kubadilisha pesa ndo utashangaa
Tunawapa Elfu 1 ya Kenya wanakupa 25,000 ya Tanzania

Yaani pesa kidogo ya Kenya huku unapewa burungutu

Umeuliza swali zuri sana, kwa nia ya kujifunza. Tofauti za Kimsingi za Kiuchumi kati ya Kenya na Tanzania ni njia za mapato yao ya taifa kwa mifumo.

1. Ukubwa wa Pato la Taifa (GDP) kwa Mtu
Pato la Taifa kwa kila mtu ni kiashiria kinachoonesha wastani wa kipato cha raia Kwa siku.

- Kenya: Kufikia mwaka 2023, GDP kwa kila mtu ni karibu $2,200, kutokana na sekta za huduma na biashara zilizokomaa.

- Tanzania: GDP kwa kila mtu ni takriban $1,200, ikiakisi uchumi unaotegemea kilimo cha kujikimu na uzalishaji mdogo wa viwandani.

Uchambuzi: Kenya ina wastani wa pato la juu kwa mtu kwa sababu sekta ya huduma (ambayo huchangia 50% ya GDP) imekua kwa kasi.
Tanzania bado inaelekeza rasilimali zaidi katika kilimo ambacho kinachangia 25% ya GDP lakini kinahusisha 65% ya nguvu kazi.

2. Sekta ya Huduma
- Kenya: Sekta ya huduma inachangia asilimia kubwa ya GDP, hasa kutokana na,
- Huduma za kifedha: Kenya imeanzisha mfumo wa malipo wa M-Pesa, unaowakilisha zaidi ya 40% ya miamala ya kifedha nchini.
- Elimu na Teknolojia: Kuna viwango vya juu vya ufahamu wa TEHAMA na uwekezaji katika elimu ya juu.
- Utalii: Utalii nchini Kenya unachangia karibu 10% ya GDP, huku nchi ikipokea zaidi ya watalii milioni 2 kila mwaka.

- Tanzania: Sekta ya huduma bado inakua, ikiwa na mchango wa karibu 40% ya GDP, hasa kupitia utalii na huduma za biashara. Hata hivyo, changamoto zipo:
- Miundombinu duni ya utalii na ukosefu wa masoko ya kimataifa.
- Usimamizi mdogo wa sekta za kifedha.

Uchambuzi: Uwekezaji wa Kenya katika huduma za kifedha na masoko ya kimataifa umeimarisha sekta hii. Tanzania inahitaji kuimarisha miundombinu na kuongeza uzalishaji wa bidhaa za thamani kubwa.

3. Sekta ya Kilimo
- Kenya: Kilimo kinachangia takriban 23% ya GDP, huku Kenya ikiwa moja ya wazalishaji wakubwa wa chai na maua ulimwenguni.
- Bidhaa za kilimo zinaongezwa thamani (value addition) kabla ya kusafirishwa.

- Tanzania: Kilimo kinachangia karibu 25% ya GDP, lakini zaidi ya 65% ya Watanzania wanategemea kilimo cha kujikimu.
- Mazao kama kahawa na korosho yanauzwa yakiwa ghafi, bila kuongezwa thamani.

Uchambuzi: Kenya inazalisha kwa ufanisi zaidi kupitia teknolojia ya kilimo, usimamizi wa maji, na mazao yenye faida kubwa kama maua. Tanzania inapaswa kuwekeza zaidi katika teknolojia za kilimo na usindikaji wa mazao.

4. Biashara ya Kimataifa
- Kenya: Inaongoza katika biashara ya kikanda kutokana na,
- Bandari ya Mombasa, ambayo ni kitovu cha usafirishaji kwa nchi zisizo na bahari kama Uganda na Rwanda.
- Viwanda vikubwa vya bidhaa za kielektroniki, chakula, na plastiki.

- Tanzania: Bandari ya Dar es Salaam inakua kwa kasi, lakini bado inashughulikia shehena ndogo ukilinganisha na Mombasa.
- Tanzania pia inauza nje madini ghafi, jambo linalopunguza thamani ya mauzo yake ya nje.

Uchambuzi: Kenya imejikita katika usafirishaji wa bidhaa zilizo na thamani ya juu, wakati Tanzania bado inategemea bidhaa ghafi.

5. Miundombinu na Nishati
- Kenya:
- Reli ya kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) imeongeza kasi ya usafirishaji wa bidhaa na watu.
- Uwekezaji mkubwa katika nishati ya upepo na jua umeongeza uzalishaji wa umeme.
- Tanzania:
- Mradi wa Stiegler's Gorge (bwawa la kuzalisha umeme) unatarajiwa kuongeza nishati ya bei nafuu kwa viwanda.
- Hata hivyo, miundombinu ya usafiri wa reli na barabara bado inahitajika kuimarishwa.

Uchambuzi: Kenya imefanikiwa kuunganisha miundombinu na sekta ya biashara, wakati Tanzania bado inasimamia miradi mikubwa inayoweza kuleta mabadiliko makubwa ya kiuchumi baadaye.

6. Mazingira ya Uwekezaji
- Kenya: Inaonekana kama kitovu cha uwekezaji Afrika Mashariki kutokana na,
- Soko huria lenye urahisi wa kufanya biashara.
- Makampuni ya kimataifa kama Google, IBM, na Visa yamefungua ofisi zao Nairobi.

- Tanzania:
- Ingawa ina rasilimali nyingi, mabadiliko ya sera za uwekezaji yamekuwa changamoto kwa wawekezaji wa kigeni.

Uchambuzi: Kenya imekuwa mstari wa mbele katika sera rafiki za uwekezaji, wakati Tanzania inahitaji uthabiti wa sera zake ili kuwavutia wawekezaji zaidi.

Ova
 
Hongera sana
Umeichambua vyema
Japo ungeweka maoni yako ya kitaalam kushauri na sisi tufanyaje
 
Wakenya wametuzidi akili kiafrika hapa wakenya ni next level in term of economy, sisi tunalima mkenya anakuja kubrand mazao kama ni yanatoka kenya then wakenya wanayaexport wao. Na sehem nyngne nyng wametuzidi
Kuna wakenya wanafata maparachichi njombe halafu wanayapeleka kwao kuyauza nchi za nje. Bidhaa inaonekana imetoka kwao. Ujanja ujanja tu.
 
Back
Top Bottom