Kenya Huwa wanatuzidi vipi kwenye uchumi Tanzania?

Hivyo viwanda vidogo vinatuzidi Nini sisi wenye dhahabu, Tanzanite, Mbuga, kilimo, biashara n.k
Madini sio yetu niyamchimbaji he serikali inachimba hayo madini?wanufaika NI wachache wengi NI investor kutoka Europe...watz NI migodi midogo
 
Yaani ku export biscuits, viberiti, mikate ndo watupige gap ivo
Vip wangekuwa wana export magari, simu, spares n.k ingekuwaje
Mazao ya kilimo tz yanapelekwa Kenya yanafanyiwa yanasindikwa au kufungwa Wana export...mnunuzi mkubwa wa asali tz NI mkenya ...vitunguu Kenya mbao Kenya...hawazitumii nyingi NI export to Dubai na ulaya.... Bidhaa zao wanazozalisha wanaleta hapa...fedha yao lazima iwe strong kuliko sisi...umaskini wa MTU mmoja mmoja Kenya NI mkubwa zaidi ya tz na utajiri wa MTU mmoja mmoja Kenya NI mkubwa kuliko tz...maskini wa Kenya Hana ardhi kabisa....Ila maskini wa hapa kwetu wa tasaf Ana kipande Cha ardhi...
 
Wanatuzidi kuongea kingereza
Kingereza kipi mkuu? Wanaongea kiswa english kama yote. Kile kingereza cha Profesa Lumumba ? Ndio standard english ile ? Unadhani kingereza chao Wamarekani au waingereza au Canada wanaweza kuwaelewa ? Ningereza chenye kijaluo nk.
Sijui nyie mnatumia vipimo gani ila mie natumia masikio.
Labda Ngugi na Mazrui
 
Mkuu mbona vitu vingi sana madukani ni vya kutoka China au hivyo vinaishia huko mipakani mwa Kenya ? Ni jamaa na colgate ndio naweza kuziona mikoani.
 
Mkuu mbona vitu vingi sana madukani ni vya kutoka China au hivyo vinaishia huko mipakani mwa Kenya ? Ni jamaa na colgate ndio naweza kuziona mikoani.
Mipakani? Sisi tuna-import kuleta mpaka kkoo........tupo zaidi ya watu 40, wengine plastics, wengine sufuria.............Kenya mfano wanakiwanda kikubwa Kaluworks wanalisha East and central Africa.......viwanda vya Tz kwa siku mfano Oceans aluminum pale Tabata Matumbi hawawezi kuzalisha per day cartons mia tano,ila Kaluworks anaweza kuzalisha per day cartons 2000.......hata capital ni kubwa zaidi na wanamitambo mingi,Mfano Tz ukienda oceans aluminum,maxima au BGI......Wanajiko moja tu ndiyo wanakuwa wanabadilishia sizes tu,ila Kenya wako mbali sana
 
Ufisadi tu. Haiwezekani watuzidi uchumi halafu kila siku wanalia bei ya unga🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kenya kunavutia wawekezaji wengi kuliko Tanzania mfano mzuri Benji Fernandes ni mtanzania lakini amewekeza Kenya kutokana na mazingira rafiki kwa wawekezaji. Hii inasaidia sana kwenye uchumi nB: kwa UFAFANUZI zaidi waulize wataalamu
 
🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…