Kenya: Idadi ya walio na Virusi vya Corona yafikia 303 baada ya wengine saba kukutwa na maambukizi

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Waziri wa Afya, Mutahi Kagwe ametangaza ongezeko la wagonjwa wapya saba wa #COVID19 na nchi hiyo ina jumla ya maambukizi 303 hadi sasa

Amesema wagonjwa wapya wote ni raia wa Kenya na wamethibitishwa kuwa na Corona baada ya sampuli 707 kufanyiwa vipimo ndani ya saa 24 zilizopita

======

Kenya has reported seven new coronavirus cases, bringing to 303 the country's total number of confirmed cases, Health CS Mutahi Kagwe said on Wednesday.

This was from 707 samples tested in the last 24 hours.

The new cases are all Kenyans.

"There is nothing to celebrate when runaway impunity takes place at the risk of all of us," he said.

"A slight lapse in behaviour could roll back the gains we have made and the destiny of our nation."

The government has rolled out a helpline to help reduce stress and mental illnesses brought about by the effects of the coronavirus.

Kagwe said mass testing is going on. There are 25,000 testing kits deployed.

He said Kenya aims to conduct 250,000 tests by the end of June.

For community based surveillance, the target is 100,000 households.

Source: The Star
 
Beth unapoleta updates zako hapa za COVID19 uwe unataja nchi gani kwenye heading hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Janga la dunia

Duh! Huu ugonjwa japo ni janga ila umeleta kaunafuu fulani kwenye jukwaa la Wakenya huku, uzi kama huu ungekua unachezea kwenye ukurasa wa kumi MaCCM online brigade wakichekelea, ila sasa hivi naona wote wamekunja mikia na kutoweka kusikojulikana baada ya Tanzania kuanza kutoa takwimu zake bila kuficha kitu, namba zinakuja double double, wamekimbia na kusalia mmoja mmoja ambao bado wana hangover, hawajaamka.

Halafu huyo mwanasiasa wenu Zitto Kabwe mbona huwa ana kaujasiri fulani hivi ka Kikenya...

Kwanza lile jiwe feki la joto. Lilishaa tokomea kwa aibu lisisikike tena!..
 
Eeh huo ndio mtindo huku. Lazima wakenya wapewe updates on daily basis. Hadi saa hii kila mtu anajua masaa ya updates. Naskia kwingine wanashtukiza tuu saa ile wametaka, ama kusitangazwe chochote kabisa siku mzima!..
Kwani mkitoa updates every 24hrs,inasaidia kuondoa Corona?huo ni uamuzi wenu wa kutoa taarifa,na ss tuna utaratibu watu,ulitaka tufate utaratibu wenu?wakenya jinga sana!
 
'Information' ndio silaha muhimu zaidi ya jambo lolote lingine, kwenye vita dhidi ya janga lolote lile duniani, sio usiri. Kenya kuna sheria ambayo inailazimu serikali kutoa habari kwa wananchi kwenye masuala yanayowahusu au yanayohusu nchi ya Kenya. Alafu ukizingatia kwamba ni suala linalohusu afya na uhai wetu, updates za kila mara inakuwa ni haki ya kila mkenya. Sio jambo la kubahatisha.
 
Sasa hivi bajeti ya buku saba ambazo huwa wanapewa nahisi imekatwa ili ielekezwe kwenye mapambano dhidi ya Corona.
Buku saba zitoke wapi boss? Wakati dereva wa bajaji, 'nahodha', alipomuona simba kwa mbele safarini alifungua mlango akatembeza kiatu zaidi ya Kipchoge? Jombaa, hata chenji tu za abiria hazionekani kwenye dashboard. [emoji1]
 
Tena ni mijitu mijinga kweli kweli. Yamekalia kujifananisha na Tanzania huku yanateketea.
Hebu tuelewane jombaa, nyinyi ni wa matawi ya juu sanaaa na kamwe hatutojifananisha na nyie, sisi mijitu mijinga. 😎
2376220_IMG_20200422_181806_726.jpg
 
Duh! Huu ugonjwa japo ni janga ila umeleta kaunafuu fulani kwenye jukwaa la Wakenya huku, uzi kama huu ungekua unachezea kwenye ukurasa wa kumi MaCCM online brigade wakichekelea, ila sasa hivi naona wote wamekunja mikia na kutoweka kusikojulikana baada ya Tanzania kuanza kutoa takwimu zake bila kuficha kitu, namba zinakuja double double, wamekimbia na kusalia mmoja mmoja ambao bado wana hangover, hawajaamka.

Halafu huyo mwanasiasa wenu Zitto Kabwe mbona huwa ana kaujasiri fulani hivi ka Kikenya...
😂

FB_IMG_1587573593187.jpg
 
pamoja.na watu wanapigwa bakora.na.kuuwawa pamoja na curfew,sijui lock down lakin takwimu zinapaa tu
 
Baada ya hotuba ya leo naona mumechipuka, mlikua underground, anyway nafurahi mumeacha kusema ni kaugonjwa.
 
Its not just a number, those are people with corona. Mungu tufanyie wepesi.
 
Wewe ndio jinga na pumbafu ya mwisho. Nani kakutaja. Kwa hivyo wajijua wewe mwenyewe ehn?.

Back
Top Bottom