oneflash
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 814
- 600
Habari tutaipokea tuu kuwa mpole. Huko ndio najua hakuna kitakacho ripotiwa maanake mpompo tuu!..Kesho itacheza ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari tutaipokea tuu kuwa mpole. Huko ndio najua hakuna kitakacho ripotiwa maanake mpompo tuu!..Kesho itacheza ngapi?
Hii hatari hii.Jombaa, hizi takwimu ni sahihi? Siamini, itakuwa ni hatari sana hata kwetu sisi majirani. Kenya tumepima sampuli 13,239 na ndio 303 zikapatikana +ve hadi sasa hivi. Unataka kuniambia Tz kati ya sampuli 2,800 tu tayari 284 ni +ve? Coronavirus – Kenya: 13,239 samples have been tested for COVID-19 in Kenya | Africanews
[emoji1][emoji1][emoji1] Labda anamaanisha kwamba hali kwenye gatuzi tano zilizobanwa kwenye usafiri imerudi kama kawa. Watu wote wamerudi kazini na bar zote zimefunguliwa na ibada kanisani na misiktini zimekubaliwa ili tutokomeze kagonjwa kadogo ka Corona kwa maombi. 😀 JPM hoyee! “We do not want to go forWhat do you mean by effects of jpm?. There is nothing we can borrow from that loser!
But how comes the only thing you can see ni hennessy, there was more than that, and im sure that wasnt the reason wacha watu wapuge shots banahiyo fedha ya chlorine ni bora mngenunulia more masks na gloves mkagawa kwa wananchi! Ni sawa na Sonko kununua Hennessy ati ku-wash coronavirus infected throats! This is a difference between smart and stupid leadership!
From the word go a section kenyans ndio wamekuwa wakiitisha total lockdown. But the president has been categorical that it's too early for that. Halafu mtu anakuja kututambia hapa eti jpm! 🤣🤣[emoji1][emoji1][emoji1] Labda anamaanisha kwamba hali kwenye gatuzi tano zilizobanwa kwenye usafiri imerudi kama kawa. Watu wote wamerudi kazini na bar zote zimefunguliwa na ibada kanisani na misiktini zimekubaliwa ili tutokomeze kagonjwa kadogo ka Corona kwa maombi. 😀 JPM hoyee! “We do not want to go for
a total lockdown. We have
said that as many people
as possible should work
from home, but we have
allowed those that must go to work to do so. But even
then, they must follow the
guidelines we have given
out,” President Kenyatta
said.
Jpm alisema 80%ya their revenues zinatoka Dar, alafu kuna watu husema kenya ni Nairobi pekee ,hehehe laughable[emoji1][emoji1][emoji1] Labda anamaanisha kwamba hali kwenye gatuzi tano zilizobanwa kwenye usafiri imerudi kama kawa. Watu wote wamerudi kazini na bar zote zimefunguliwa na ibada kanisani na misiktini zimekubaliwa ili tutokomeze kagonjwa kadogo ka Corona kwa maombi. 😀 JPM hoyee! “We do not want to go for
a total lockdown. We have
said that as many people
as possible should work
from home, but we have
allowed those that must go to work to do so. But even
then, they must follow the
guidelines we have given
out,” President Kenyatta
said.
Aisee,ulisoma mpaka stardad ngapi buda?hapa tunaongelea namna ya utoaji taarifa,Kenya mnatoa every 24hrs,ss tunatoa kwa awamu,so,inabaki palepale,kwamba taarifa inatoka,sheria unayojisia humu,ni nonsense kwa sababu wakenya wanauwawa na polisi kila kukicha,haijamaliza ukabila,haijafuta ufisadi na rushwa,soma ma utafakari kilichoandikwa Kwanzaa'Information' ndio silaha muhimu zaidi ya jambo lolote lingine, kwenye vita dhidi ya janga lolote lile duniani, sio usiri. Kenya kuna sheria ambayo inailazimu serikali kutoa habari kwa wananchi kwenye masuala yanayowahusu au yanayohusu nchi ya Kenya. Alafu ukizingatia kwamba ni suala linalohusu afya na uhai wetu, updates za kila mara inakuwa ni haki ya kila mkenya. Sio jambo la kubahatisha.