Kenya: Idadi ya walio na Virusi vya Corona yafikia 303 baada ya wengine saba kukutwa na maambukizi

Hebu tuelewane jombaa, nyinyi ni wa matawi ya juu sanaaa na kamwe hatutojifananisha na nyie, sisi mijitu mijinga. 😎
2376220_IMG_20200422_181806_726.jpg
heheh huwezi elewa anachoongea usipokuwa scientist kiufupi ku-fumigate mitaa na chlorine ni wastage of resources kwa vile ki-science coronavirus wale hawafi na chlorine fumigation! Its even bora ku-spray hot water kuliko chlorine fumigation! That's his message as chemistry PHD holder and i stand with him! Ambia Kunyatta aache kupoteza resources!

Health experts caution people against ‘antiviral’ walk-through gates

Covid-19 pandemic: How safe are disinfectant tunnels? – Mysuru Today

Spraying, misting ineffective
 
Well, wacha sisi we take our chances na chlorine then, mko tu sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo fedha ya chlorine ni bora mngenunulia more masks na gloves mkagawa kwa wananchi! Ni sawa na Sonko kununua Hennessy ati ku-wash coronavirus infected throats! This is a difference between smart and stupid leadership!
 
heheh huwezi elewa anachoongea usipokuwa scientist kiufupi ku-fumigate mitaa na chlorine ni wastage of resources kwa vile ki-science coronavirus wale hawafi na chlorine fumigation! Its even bora ku-spray hot water kuliko chlorine fumigation! That's his message as chemistry PHD holder and i stand with him! Ambia Kunyatta aache kupoteza resources!Health experts caution people against ‘antiviral’ walk-through gates Covid-19 pandemic: How safe are disinfectant tunnels? – Mysuru Today
Aisee, mmechanganyikiwa kama kuku ambaye amenyofolewa kichwa. Jana umetupia tweet ukimsifia mzee kwa mashine ambayo ulisema mmevumbua nyinyi wenyewe, ya kunyunyiza dawa ya 'kujikinga na corona' bungeni. Leo unamsifia tena Jiwe kwa kuponda juhudi za kunyunyiza zinazoendelea ndani ya nchi yake. Au Dar ipo Msumbiji? 😕
 
sasa kama hazina matokeo ya kuridhisha, isisemwe? BTW hizo mashine ni mchango wa taasisi binafsi! Taifa gas wametoa! Do a research mzee vitu viko online!
 
Eeh huo ndio mtindo huku. Lazima wakenya wapewe updates on daily basis. Hadi saa hii kila mtu anajua masaa ya updates. Naskia kwingine wanashtukiza tuu saa ile wametaka, ama kusitangazwe chochote kabisa siku mzima!..
Nyinyi wakenya sio wagunduzi tatizo

Nawakumbusha tu kua swala la kufukiza limegundulika bongo, angalieni msije mkaiga halafu mkasema nyie ndio mlio buni hiyo mbinu
 
sasa kama hazina matokeo ya kuridhisha, isisemwe? BTW hizo mashine ni mchango wa taasisi binafsi! Taifa gas wametoa! Do a research mzee vitu viko online!
Eti nifanye risechi kuhusu zilikotolewa hizo mashine bungeni Tz? Hizo mashine za kawaida ambazo ulikuwa unazitumia kujisifia? Una kichaa wewe, unadhani nipo idle kiasi hicho? [emoji1] Leo unamsifia mzee ukimuita Phd holder, wakati mmekuwa mkijisifia humu kwamba mnanyunyiza kote kote eti na hadi mnatumia magari ya zimamoto. Vipi kuhusu kauli yake kwamba Corona ni kaugonjwa kadogo na kataangamizwa na mwili wa Yesu? Hiyo nayo ni Phd ya nini? Unategemea rais U.K aige upupu kama huo? [emoji1] Hivi wataalamu wa Tz walizamia wapi? Maanake nchini Kenya rais anatoa muongozo tu kwenye vita dhidi ya Corona(hajazamia kwao kijijini Gatundu hata siku moja), ila wataalamu nao wamepewa nafasi ya kufanya kazi yao.
 
Eti nifanye risechi kuhusu zilikotolewa hizo mashine bungeni Tz? Hizo mashine za kawaida ambazo ulikuwa unazitumia kujisifia? Una kichaa wewe, unadhani nipo idle kiasi hicho? [emoji1] Leo unamsifia mzee ukimuita Phd holder, wakati mmekuwa mkijisifia humu kwamba mnanyunyiza kote kote eti na hadi mnatumia magari ya zimamoto. Vipi kuhusu kauli yake kwamba Corona ni kaugonjwa kadogo na kataangamizwa na mwili wa Yesu? Hiyo nayo ni Phd ya nini? Unategemea rais U.K aige upupu kama huo? [emoji1] Hivi wataalamu wa Tz walizamia wapi? Maanake nchini Kenya rais anatoa muongozo tu kwenye vita dhidi ya Corona(hajazamia kwao kijijini Gatundu hata siku moja), ila wataalamu nao wamepewa nafasi ya kufanya kazi yao. Hizi sifia sifia zitakufanya uwe zuzu kabisa, afadhali ungekataa kula ule wali wakati wa kampeni. 😀
and still u r leading in coronavirus deaths and infections!
 
Kenya yakumbwa na baa kubwa la njaa, tayari watu 150k wanahitaji msaada wa dharura - JamiiForums
 
Nyinyi wakenya sio wagunduzi tatizo

Nawakumbusha tu kua swala la kufukiza limegundulika bongo, angalieni msije mkaiga halafu mkasema nyie ndio mlio buni hiyo mbinu
Huku tutang'ang'ana na kuunda ventilators mkuu!..
 
and still u r leading in coronavirus deaths and infections!
Kama kawa nilijua umejikita tu kwenye kumsifia sifia mzee. Kisha ukiishiwa na hoja kuhusu vita dhidi ya Corona utarudi kwenye ligi zako za kitototo kuhusu vifo na maambukizi. Acha nikusahihishe tu, Tz inaongoza Kenya kwenye maambukizi na wagonjwa 50. Kenya wangonjwa 83 wamepona, kati ya kesi 303 ziliripotiwa hadi sasa. Kwahivyo 'active cases' Kenya ni 223 huku Tz 'active cases' zikiwa ni 273, wagonjwa waliopona Tz ni 11 kati ya kesi 284 zilizoripotiwa hadi sasa.
 
That means u know than ur MOH!
 
Back
Top Bottom