Kenya: IEBC ICT Manager, Chris Musando body found at City Mortuary three days after he went missing

Kenya: IEBC ICT Manager, Chris Musando body found at City Mortuary three days after he went missing

Mwili wa Meneja wa Mawasiliano wa Tume ya Uchaguzi nchini Kenya,Chris Musando umepatikana ukiwa umeharibika huku akiwa hana mikono yote. Tume hiyo ililipoti jana Polisi kuwa afisa wake hajulikani alipo tangu siku ya Ijumaa ya Julai 28 mwaka huu.Polisi wamesema kuwa mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Jiji la Nairobi. Tukio hili la kuhuzunisha linatokea huku nchi hiyo ikiwa imebakiza siku 8 kufanya uchaguzi mkuu

Tume ya Uchunguzi au Uchaguzi!?
 
siasa za baadhi ya nchi za Africa ni ngumu sana kwa kweli!!!
 
Ukiitwa kutoa ushahidi wa hayo majibu yako utatoa? au ndio utaanza kulia lia kuwa unaonewa.Think before you talk brother

Hivi nimekwambia nenda kwenye FB account zao sasa unatishia watu wanaokupa information?Aliyesema CHADEMA mbona hamjamtisha au kwa sababu ni Upinzani?
 
Chini ya Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi bado haya yanatokea?!!
Afrika hakuna cha tume huru wala demokrasia bali ni uchu wa madaraka chama cha Jubilee kimeona hali ni mbaya matokeo they killed this innocent young man.
 
Kiukweli pamoja na yote
Salama ya Tanzania ni Uhuru kushinda tofauti na hiyo twafaaaa
 
Back
Top Bottom