Reginald12
JF-Expert Member
- Aug 9, 2012
- 264
- 145
hapo ni Chibukati ameongezewa ulinzi, sio marehemu.Pamoja na escort magari mawili na ulinzi wa polisi sita wabaya wake wamemua. Kenya 2017 election claims its first victim.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo ni Chibukati ameongezewa ulinzi, sio marehemu.Pamoja na escort magari mawili na ulinzi wa polisi sita wabaya wake wamemua. Kenya 2017 election claims its first victim.
....na yeye alikuwa ict !?Tofauti na Tanzania, Kenya mtu akitoweka atapatikana akiwa amekufa..
Walau ndugu na jamaa wanajua ndugu yao amekufa..
Lakini Tanzania, mtu hatopatikana kabisa mfano Ben Saanane.
Where is Ben Saanane jamani??
sikia wapii wewe wacha kuropoka mambo ya watu usiyoyajua yakaja kukutokea kwenye mapuaNasikia jamaa aligoma kuunganisha servers za IEBC na Jubilee ili waibe vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo ambalo linaniudhi kuhusu nchi yangu hii ya Kenya ni hii ukumbafu ya watu wachache wanao dhani Kenya nzima ni Yao. Sisi kama Wakenya tunataka amani na inajulikana ni nani ako uwezo na nia ya kufanya unyama huu. We know who has the intention and ability of doing this bullshit but everyone is afraid of saying it.View attachment 554741
View attachment 554739
Chris Musando's Land Rover towed to Kasarani Police Station. PHOTO: SAMUEL RAMTU
IEBC ICT manager Chris Musando found dead
Jul. 31, 2017, 12:00 pm
By STAR REPORTER
Missing IEBC ICT manager Chris Musando has been found dead with one of his arms cut off.
Police said the deputy director's body was found in Kikuyu and taken to City Mortuary in Nairobi on Sunday.
His family members have identified it and are at the facility.
After announcing Musando's disappearance, the commission's chairman Wafula Chebukati he was last seen on Friday night.
"The last communication from him was an SMS sent to one of his colleagues at around 3 am on Saturday morning."
A vehicle belonging to Musando was earlier traced to the TRM parking lot. The Land Rover Discovery was found intact at about 1 am on Monday.
Musando was one of the few people with knowledge on the whereabouts of the servers at IEBC.
The manager had given Central police station officers reports of death threats.
Chebukati's security was beefed up for round-the-clock protection, three days after Musando went missing.
He has been assigned six more police officers and two chase cars.
IEBC ICT manager Chris Musando found dead
=====
Hicho kitengo chadema walipotaka kukichezea baada ya kutega wataalamu wao, JK alikibadilisha chote kabla ya uchaguzi. Kisha akawadaka wataalamu wa chadema wako ndani mpaka leo, kuna mkorea kafia jelaHivi huyo mkurugenzi aliyeuwawa ndo kama Jecha wetu huku au?
Kufa kunaingiaje kwenye mada hii!!dogo tulia ungejua mimi ni nani usingebishana na mimi. Kama kufa ningekufa zaman awam ya kwanza pili na ya tatu. Nilikuwa naonja kila chakula kambarage mwinyi na mkapa kabla hawajala.
Mkuu si Africa pekee hii mambo iko hata huko nchi za dunia ya kwanza yanatokea kimyakimya...!
!
Duuuh..... Aisee. This is Africa
Maafisa Wavaa KAUNDA SUTI wa kenya washafanya yao. HII NDIO AFRICA! MBAYA SANA.View attachment 554741
View attachment 554739
Chris Musando's Land Rover towed to Kasarani Police Station. PHOTO: SAMUEL RAMTU
IEBC ICT manager Chris Musando found dead
Jul. 31, 2017, 12:00 pm
By STAR REPORTER
Missing IEBC ICT manager Chris Musando has been found dead with one of his arms cut off.
Police said the deputy director's body was found in Kikuyu and taken to City Mortuary in Nairobi on Sunday.
His family members have identified it and are at the facility.
After announcing Musando's disappearance, the commission's chairman Wafula Chebukati he was last seen on Friday night.
"The last communication from him was an SMS sent to one of his colleagues at around 3 am on Saturday morning."
A vehicle belonging to Musando was earlier traced to the TRM parking lot. The Land Rover Discovery was found intact at about 1 am on Monday.
Musando was one of the few people with knowledge on the whereabouts of the servers at IEBC.
The manager had given Central police station officers reports of death threats.
Chebukati's security was beefed up for round-the-clock protection, three days after Musando went missing.
He has been assigned six more police officers and two chase cars.
IEBC ICT manager Chris Musando found dead
=====
Sasa DJ Mbowe msaidizi wake anapotea halafu yuko kimyaYap, kama watu wanavyoiuliza serikali kuhusu kupotea kwa Ben...