Kenya: IEBC ICT Manager, Chris Musando body found at City Mortuary three days after he went missing

Kenya: IEBC ICT Manager, Chris Musando body found at City Mortuary three days after he went missing

Kiukweli pamoja na yote
Salama ya Tanzania ni Uhuru kushinda tofauti na hiyo twafaaaa
Kwa sababu akishindwa atagoma kutoka siyo? Hivyo kuwa chanzocha vurugu.

Halafu utasikia wakati wa kampeni wakisema "mkiwachagua wapinzani wataleta vurugu"!!!
 
Dah Wakenya Mungu awavushe tu salama, sasa huyo mmemuua kwanini?
 
Kuna ile thread ya kupotea kwake nilisema jamaa lazma apatikane amekufa... Kenya is more than you thinking.... Huko kenya ni mafia.. Siyo sehemu salama ya kuishi muda wote
Yes... niliona jama umeandika
 
Pamoja na escort magari mawili na ulinzi wa polisi sita wabaya wake wamemua. Kenya 2017 election claims its first victim.
HAPANA. Aliyepewa ulinzi wa kufa mtu ni mwenyekiti wa tume Bw. Chebukati, baada ya mfanyakazi mwenzake Chris Musando kupotea.
 
View attachment 554741

View attachment 554739
Chris Musando's Land Rover towed to Kasarani Police Station. PHOTO: SAMUEL RAMTU


IEBC ICT manager Chris Musando found dead

Jul. 31, 2017, 12:00 pm
By STAR REPORTER

Missing IEBC ICT manager Chris Musando has been found dead with one of his arms cut off.

Police said the deputy director's body was found in Kikuyu and taken to City Mortuary in Nairobi on Sunday.

His family members have identified it and are at the facility.

After announcing Musando's disappearance, the commission's chairman Wafula Chebukati he was last seen on Friday night.

"The last communication from him was an SMS sent to one of his colleagues at around 3 am on Saturday morning."

A vehicle belonging to Musando was earlier traced to the TRM parking lot. The Land Rover Discovery was found intact at about 1 am on Monday.


Musando was one of the few people with knowledge on the whereabouts of the servers at IEBC.

The manager had given Central police station officers reports of death threats.

Chebukati's security was beefed up for round-the-clock protection, three days after Musando went missing.

He has been assigned six more police officers and two chase cars.

IEBC ICT manager Chris Musando found dead

=====





ONLY IN KENYA.... May God Help US!!!
 
Dah, yote haya ni ili Mtu aitwa Rais?? MUNGU nisaidie Baba.
Yani acha tu inaumiza sana lakini huu unyama hautawaacha salama wanofanya unyama huu ili wasalie madarakani. ..nawahurumia sana Wakenya Namuomba Mwenyenzi Mungu ampokee amja wake na awafariji wafiwa pamoja na kuwasadia Wakenya waepukane na Utawala huu wa Kinyama
 
Inaonekana kama kazi ya watu wa Usalama! Nimekumbuka na Waziri wa Usalama aliyefariki karibuni. Anyway naona Uhuru atashinda japo kwa tofauti ya kura chache.
 
RIP Sir.May the hackers attempts fail and allow Kenya to have a president after August 8.
 
Poleni sana wakenya na ndugu wa marehemu. Najua hakupenda kuajiriwa IEBC ili afe, ni binaadamu wachache wenye roho za ulafi ndio wameamua kuzimisha mwanga wa maisha yake. Poleni sana IEBC
 
Naona Uhuru na Rutto wanairudisha Kenya kwenye utawala wa mabavu na kimafia wa Kina Moi na Biwot...Mwenyenzi Mungu aweke mkono wake awaokoe Wakenya
 
Siasa za kiafrika ni hatari sana wakati mwingine hua nashukuru kutokuwepo kwenye siasa japo naongozwa na watu wengi empty minded sawa tu kuliko mambo kama haya.
Sasa mzee wa watu wamemuua kisa utaalamu wake.

Pumzika kwa amani mzee Musando.

......
 
Back
Top Bottom