Kenya: IEBC ICT Manager, Chris Musando body found at City Mortuary three days after he went missing

Kenya: IEBC ICT Manager, Chris Musando body found at City Mortuary three days after he went missing

Si muda mrefu hata mwenyekiti wa tume atakimbia nchi, yaani wale wanaoteliuliwa kukulinda ndio wanaokushughulikia kwanza. Hakuna demokrasia Afrika, si Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi wala Tanzania. Hakieleweki, unafuta tu uchaguzi.
 
Si muda mrefu hata mwenyekiti wa tume atakimbia nchi, yaani wale wanaoteliuliwa kukulinda ndio wanaokushughulikia kwanza. Hakuna demokrasia Afrika, si Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi wala Tanzania. Hakieleweki, unafuta tu uchaguzi.
East Africa yoote ni mfano mbaya sana ktk democracy duniani, hakuna wa kumnyooshea mwenzie.

Tanzania tulibadilisha makamishina mpaka siku mbili kabla ya uchaguzi 2015.

Cairo's
 
Hivi finger print inaweza fanya kazi hata kama damu imeshaganda na hakuna mzunguko wa damu?
Nahisi itafanya kazi, maana zile si alama zipo kwenye ngozi tu, alafu ma movies kibao huonyesha vile, wanakata kiganja wanaenda log in, kuna zile za macho pia, movie moja niliona walimtoa Jamaa jicho wakaenda kulitumia kulog in. These things can be done with a normal human being wired differently, kuna RAIA zinafurahia kutesa tu, yani ukiwa unascream maumivu hadi unazirai Jamaa ndio anaona raha kinyama.
 
Pamoja na escort magari mawili na ulinzi wa polisi sita wabaya wake wamemua. Kenya 2017 election claims its first victim.
Aliyeongezewa walinzi ni Chair wa IEBC si Bw. Chris Musando (Marehemu). Elewa lugha za watu ndugu acha ku-kremu
 
Ila hii ya Kenya mnaitazama kwa upande mmoja tu, what if some guys knew the disagreement btn him and jubilee, and decided to murder him ili jubilee waonekane sivyo ili waweze kucapitalize hapo, eh bhana, alafu kuna yule mwingine alifukuzwa kabla ya huyu marehemu, isije ikawa ameshaongea na upande pinzani na jubilee ili wamalize kabisa, inawezekana pia.
 
wamekata mkono na kumuondoa uhai, kisa nn ? This is just too painful, tunapiga hatua 1 mbele na 2 nyuma. Afu kuna yule mjamaa wa kutupa picha kwenye FB akiwa ana display gari la marehemu pindi ilipopatikana baada ya kusakwa siku 3 huku akimkejeli kuwa alikuwa na mwanamke flani : waanze naye.
 
Waafrika alietulaani sijui yuko wapi huwezi kuamini unamtoa uhai mwanadamu mwenzio ambae ana ndg jamaa...mke na watoto unafikiriaje kwanza?? Wanasema mwanadamu ni mnyama mbaya kuliko hao wanyama wenyewe ni kweli kabisa....hii ni aibu kwa Afrika nzima tuikatae tupinge upuuzi wa aina hii...tusikae kimya hata hapa yatakuja baadhi ya watu wanaumizwa..wanazushiwa wengine wanaumizwa makazini huko kwasababu ya siasa za chuki...Afrika ikatae huu upuuzi wa kuumiza watu kisa madaraka....
 
Rest in peace, kwa style hii ya mauaji, Mtu atakaye shindwe kwenye uchaguzi halafu katekeleza mauaji haya lazima vurugu zitokee
 
Back
Top Bottom