Angry Bird
JF-Expert Member
- May 3, 2016
- 514
- 487
Hii ndo afrika bhana, madaraka mbele, utu baadaye. Si ajabu wamemwua kwa 7bu alikataa kuingiliwa majukumu yake
Mwili wa Meneja wa Mawasiliano wa Tume ya Uchaguzi nchini Kenya,Chris Musando umepatikana ukiwa umeharibika huku akiwa hana mikono yote. Tume hiyo ililipoti jana Polisi kuwa afisa wake hajulikani alipo tangu siku ya Ijumaa ya Julai 28 mwaka huu.Polisi wamesema kuwa mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Jiji la Nairobi. Tukio hili la kuhuzunisha linatokea huku nchi hiyo ikiwa imebakiza siku 8 kufanya uchaguzi mkuu
Serikali ipi mkuu?Hata kama hawatakagi ujinga lakini wameenda mbali sana, sio vizuri mbele za Jamii nzma ya kiafrica.
Serikali ijitahidi kurekebisha mapungufu na kuwakamata wahusika ili wafikishwe mbele ya sharia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiitwa kutoa ushahidi wa hayo majibu yako utatoa? au ndio utaanza kulia lia kuwa unaonewa.Think before you talk brother
Afrika hakuna cha tume huru wala demokrasia bali ni uchu wa madaraka chama cha Jubilee kimeona hali ni mbaya matokeo they killed this innocent young man.Chini ya Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi bado haya yanatokea?!!